Hawana kazi za kufanya ndio maana wanapoyezaga mda pale mwenge kusubiri za posta lol!
mwekundu nilijua tu.......ni wakaka tu ndio wanakaa mda mwingi pale au na wadada piaWarembo watoto wa mwenge,mbezi beach wana sura nzuri,miguu,nice booty,shape nini...wanafariji japo ni kwa macho tu..LOL!!
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Ukiwa mwenge kituoni ile asubuhi abiria wa naosubiri gari za posta ni wengi sana ila cha kushangaza mtu anasimamawee pale kusubiri gari za posta wakati anashuka aidha Victoria makumbusho au moroko lakini zinakuja gari za kariakoo nyeupee wala hapandi anasubiri za posta au mtu anaenda posta mpya na zipo zile nyekundu zipitazo manzese pia hapandi aanasubiri hizi za mwenge posta huwa najiuliza sana kuwa ivi kuna fahari gani mtu ukiwa pale Mwenge kupanda gari hizi? Mi nadhani hakuna sababu yoyote labda kwa wale wanaoshuka kuanzia mbuyuni contena ubalozi salenda Palmbeach na redcross mie huwa nashuka palmbeach
Hivi nimeingia jukwaa gani tena hili?
Mama hapo kwenye bold salaama..!??Hawana kazi za kufanya ndio maana wanapoyezaga mda pale mwenge kusubiri za posta lol!
Ukiwa mwenge kituoni ile asubuhi abiria wa naosubiri gari za posta ni wengi sana ila cha kushangaza mtu anasimamawee pale kusubiri gari za posta wakati anashuka aidha Victoria makumbusho au moroko lakini zinakuja gari za kariakoo nyeupee wala hapandi anasubiri za posta au mtu anaenda posta mpya na zipo zile nyekundu zipitazo manzese pia hapandi aanasubiri hizi za mwenge posta huwa najiuliza sana kuwa ivi kuna fahari gani mtu ukiwa pale Mwenge kupanda gari hizi? Mi nadhani hakuna sababu yoyote labda kwa wale wanaoshuka kuanzia mbuyuni contena ubalozi salenda Palmbeach na redcross mie huwa nashuka palmbeach
Warembo watoto wa mwenge,mbezi beach wana sura nzuri,miguu,nice booty,shape nini...wanafariji japo ni kwa macho tu..LOL!!