Kuna Faida ATCL kuuza shares au ibaki hivo hivo 100%

Kuna Faida ATCL kuuza shares au ibaki hivo hivo 100%

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,957
Reaction score
3,245
Katika Biashara kuna faida serikali ikamiliki hisa 100% au Serikali iuze shares at least by 20%?

Serikali ibaki na 80% na public (watanzania) wanunue 20%

Mimi naona wananchi wakinunua share, itaongeza hata wateja zaidi maana mtu atapenda kununua ticket kwenye shirika lake
 
Umetumwa?
 
Umetumwa?

Sijatumwa..Kwani hilo ni wazo baya?

CRDB waliuza share..Kweli.?

NMB waliuza share, kweli?

Sigara waliuza share kweli?

Yapo mashirika mengi yaliuza share na yanafanya vizuri.
 
Dunia ya sasa serikali kuwa na share zaidi ya 50% ni kufeli tu...

Kwanza wafanyakazi wa serikali hawana cha kujali wala kupoteza kazi, hawana, meneja hana cha kuwajibika, hawana ubunifu, matumizi ya fedha ni hovyohovyo....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wauze share kuongeza mtaji serikali ibakiwe na kama asilia 45, 10 wawape wafanyakazi ili kuongeza ufanisi (kiuhalisia zinabaki kuwa za serikali) na nyingine general public

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijatumwa..Kwani hilo ni wazo baya?

CRDB waliuza share..Kweli.?

NMB waliuza share, kweli?

Sigara waliuza share kweli?

Yapo mashirika mengi yaliuza share na yanafanya vizuri.

Tatizo lako una haraka sana kama nn sijui, yaani shirika ndio linaanza ku take off, unafikiria shares.. Hivi unajua shares taratibu zake na jinsi kuziuza kwa IPO..? ATCL haija stabilize bado sana, ndio inaanza upya, unaanza kuuza shares kivipi? Unakurupuka kama mentally unfit or hysteria disorder human being..!!
 
We Don't Need These Parastatas Company Any More, It Is The Loop For Corruption,,,,
 
Hahaha na wakitangaza kuuza Masha ananunua zote, kisha anaziambia media zote ziandike. Kesho yake shirika linakufa.
 
Wazo ni zuri ila linaweza kutekelezwa siku za usoni kwa sababu ATCL ndio kwanza inajaribu kusimama tena upya. Utaratibu wa kuuza hisa kwa wawekezaji wa kimkakati, husimamiwa na soko letu la hisa, mchakato wake ni mrefu kidogo na moja ya sharti gumu ni la kujiendesha kwa faida kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo... ATCL inahitaji kushinda mtihani huu kwanza.
 
Hahaha wauze shirika na ndege serikali ifanye kazi zake iache kuchanganya biashara na utawala.
Ama wanunue ndege dume sasa ndege zizaliane.
 
Wazo ni zuri ila linaweza kutekelezwa siku za usoni kwa sababu ATCL ndio kwanza inajaribu kusimama tena upya. Utaratibu wa kuuza hisa kwa wawekezaji wa kimkakati, husimamiwa na soko letu la hisa, mchakato wake ni mrefu kidogo na moja ya sharti gumu ni la kujiendesha kwa faida kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo... ATCL inahitaji kushinda mtihani huu kwanza.

Asante kwa ufafanuzi nzuri

Nimeelewa Great thinker
 
Tatizo lako una haraka sana kama nn sijui, yaani shirika ndio linaanza ku take off, unafikiria shares.. Hivi unajua shares taratibu zake na jinsi kuziuza kwa IPO..? ATCL haija stabilize bado sana, ndio inaanza upya, unaanza kuuza shares kivipi? Unakurupuka kama mentally unfit or hysteria disorder human being..!!

Pole kwa hasira..

Watu hawajengi hoja kwa jazba

Nini maana ya Forum, heshimu mawazo ya wengine.

Acha matusi na jazba...tumia akili zaidi na sio nguvu
 
Acha kukurupuka , Hiyo kampuni umesha ona wamechapisha financial statement ya robo mwaka? .Imejaa madeni. mpaka kwenye kope
 
Katika Biashara kuna faida serikali ikamiliki hisa 100% au Serikali iuze shares at least by 20%?

Serikali ibaki na 80% na public (watanzania) wanunue 20%

Mimi naona wananchi wakinunua share, itaongeza hata wateja zaidi maana mtu atapenda kununua ticket kwenye shirika lake

Hata nikipewa shares za ATCL bure sitazichukua maana kuna siku zitaniabisha mbele ya wanangu. Hebu fikiria scenario hii:
Ushakuwa mtu mzima halafu unasikia baba/mama yako ana hisa za kampuni ambayo ni embarrassing kuhusishwa nayo, utajisikiaje? And trust me; mameneja wa ATCL hii (kama wana IQ japo ya kuku) watakuja kuwa embarrassed muda si mrefu kama wale wenzao waliokuwa mameneja wa HOSCO, TWICO, NASACO. THB, MWATEX et al
 
kazi ya serikali ni kutoa huduma sio kufanya biashara...mwisho wa kunukuu
 
Back
Top Bottom