Katika Biashara kuna faida serikali ikamiliki hisa 100% au Serikali iuze shares at least by 20%?
Serikali ibaki na 80% na public (watanzania) wanunue 20%
Mimi naona wananchi wakinunua share, itaongeza hata wateja zaidi maana mtu atapenda kununua ticket kwenye shirika lake
Umetumwa?
Sijatumwa..Kwani hilo ni wazo baya?
CRDB waliuza share..Kweli.?
NMB waliuza share, kweli?
Sigara waliuza share kweli?
Yapo mashirika mengi yaliuza share na yanafanya vizuri.
Wazo ni zuri ila linaweza kutekelezwa siku za usoni kwa sababu ATCL ndio kwanza inajaribu kusimama tena upya. Utaratibu wa kuuza hisa kwa wawekezaji wa kimkakati, husimamiwa na soko letu la hisa, mchakato wake ni mrefu kidogo na moja ya sharti gumu ni la kujiendesha kwa faida kwa kipindi cha miaka mitatu mfululizo... ATCL inahitaji kushinda mtihani huu kwanza.
Tatizo lako una haraka sana kama nn sijui, yaani shirika ndio linaanza ku take off, unafikiria shares.. Hivi unajua shares taratibu zake na jinsi kuziuza kwa IPO..? ATCL haija stabilize bado sana, ndio inaanza upya, unaanza kuuza shares kivipi? Unakurupuka kama mentally unfit or hysteria disorder human being..!!
Katika Biashara kuna faida serikali ikamiliki hisa 100% au Serikali iuze shares at least by 20%?
Serikali ibaki na 80% na public (watanzania) wanunue 20%
Mimi naona wananchi wakinunua share, itaongeza hata wateja zaidi maana mtu atapenda kununua ticket kwenye shirika lake
Faida ipo maana wataongeza mtaji na kufanya ununuzi wa ndege mpya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Niite au tukana tu mkuu,kwani nimekutukana?Nlingekuwa sijajalelewa kwenye mazingira yenye maadili ningekuita jina unalostahili kwa hiki ulichokiandika.
Ndege aanunuwe wenyewe halacu wewe uwe na share asilimia zaidi 50? Hii nayo mpya.Wauze share kuongeza mtaji serikali ibakiwe na kama asilia 45, 10 wawape wafanyakazi ili kuongeza ufanisi (kiuhalisia zinabaki kuwa za serikali) na nyingine general public
Sent using Jamii Forums mobile app