Kuna faida gani kusafiri daraja la kwanza au VIP kwenye ndege?

Priority boarding
Free checked bags,
Kuna better food options including Champagne kwa wale wanywaji,
Lie flat bed,comfy seat ''Wider''
Mkuu kwema? Sorry ulipata zile mbaazi ulizokuwa unahitaji? Kama bado naomba uni PM
 
Siyo utani! Hela ni nzuri!

Ukianza kusafiri kwa first class halafu ukaja kurudishwa economy sijui utajisikiaje😄
Na kweli
Ila mzee anazo pia, kastaafu zamani sana na kitita anacho
Alikuwa engineer KSA akarudi nyumbani
Hana makuu ila alipewa offer tu
Ngoja na mimi nipande siku moja ila kupata raha yake inahitaji safari kama ya masaa zaidi ya 10
 
ChatGPT imedadavua vyema. Safi sana! 👏👏👏
 
Wakuu salama?

Naombeni mnitoe "matongotongo"

Abiria wa daraja la kwanza au VIP kwenye ndege anatofautianaje na wa madaraja ya kawaida?

Nawasilisha🙏
"Prestige".

Ni kama kuuliza kwanini mmoja anaendesha IST na mmoja anaendesha BMW, zote ni gari lakini bei zao ni tofauti kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…