DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Kwenye ndege Economic sio mbaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unapata chumba chako sefukontena.Wakuu salama?
Naombeni mnitoe "matongotongo"
Abiria wa daraja la kwanza au VIP kwenye ndege anatofautianaje na wa madaraja ya kawaida?
Nawasilisha🙏
Kingdom of Saudi ArabiaMkuu, ni KSA au USA?
Yaani kama zipo wala sio kituWhat??? ... utofauti wa zaidi ya milioni 10? IST "mpya" na chenchi juu😄😄😄
VIP😄😄😄
Ukisafiri masaa mengi ndio utaona tofautiWakuu salama?
Naombeni mnitoe "matongotongo"
Abiria wa daraja la kwanza au VIP kwenye ndege anatofautianaje na wa madaraja ya kawaida?
Nawasilisha🙏
Kutokea nchi gani mkuu?Yaani kama zipo wala sio kitu
Ila kwa Ulaya sio hela ndefu
Maana ticket ya economy class kuja Dar kwa sasa ni 3.5m return
Hata kama ni masaa machache bado ni raha sana kusafiri daraja la VIP/FIRST CLASS.Ukisafiri masaa mengi ndio utaona tofauti
Hata mimi ningependa kujua kama mazingira yanaruhusu watu kunjunjana ndege ikiwa angani aidha na abiria mwenzako, wahudumu wa ndege au mwenza kama mmesafiri wote?Wakuu salama?
Naombeni mnitoe "matongotongo"
Abiria wa daraja la kwanza au VIP kwenye ndege anatofautianaje na wa madaraja ya kawaida?
Nawasilisha🙏
Inatakiwa iboreshwe, sababu safari ni hatuaNikajua unazungumzia hizi VIP za kina Kimbinyiko etal...mtu akijisaidia haja ndogo harufu yote inarudi ndani,eti VIP...😂😂
Kutoka 🇬🇧Kutokea nchi gani mkuu?
Kwa daraja la VIP ni sh ngapi?
Ila hela ni nzuri nyie😄
Sio Kwa Air Tanzania now nasafirigi changanyikeni hayo mambo Emirate.Tofauti ni kuwa nafasi ya kutosha kwa kiti na zaidi sana watu wachache wanaohudumiwa kwanza, bidhaa zenye wiwango vya juu kulinga na pesa uliyolipa.
Watu na experience zenyuuuu!