The Hidden
JF-Expert Member
- Mar 26, 2017
- 246
- 102
Kuna ulazima wa kuweka bima kwa pikipiki inaponunuliwa? na ni faida gani naweza pata kwa hii bima pia gharama yake ni sh. ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sana brotherkwa ufahamu wng
Kuna Aina 2 za bima, Bima kubwa na Bima ndogo.
Bima kubwa hii faida yake ni pale unapokutwa na majanga mfano umeibiwa chombo,ajali ambayo imeathiri chombo hii Inacover dereva,abiria na chombo ya kwamba chombo utalipwa kulingana na ulivyokithaminisha wakati wa kukata bima na Dereva pamoja na Abiria mtalipwa au mtahudumiwa km mkiwa mumeathirika na ajali.
Bima Ndogo hauna unachoambulia zaudi kuepuka usumbufu wa Traffic barabarani maana Kusheria bima sio lazima ila inalazimishwa ili serikali ipate mapato.
AKILI KUMKICHWA.