Vhagar
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,550
- 39,949
Hello guys;
Wale wanaofuatilia maswala ya anga tunaomba tuelimishane wakuu...
Leo habari kubwa nimekutana nayo mtandao wa Twitter ni juu ya India kufanikiwa na wao kutua mwezini. Wakitanguliwa na USA na USSR 1966 na China 2013
Sasa nikajiuliza kichwani lengo linakuwa ni nini? Kufanya utafiti au kuna manufaa gani kiuchumi na kijamii. Kwenda huko mwezini? Ukizingatia gharama huwa ni kubwa zinazotumika pia. Yaani huwa ni uwekezaji wa muda mrefu.
Natanguliza shukrani...