Maendeleo yoyote unayoyaona hapa duniani, ni matokeo ya tafiti zilizofanyika kabla. Wapo waliomuona Nikola Tesla ni mwehu wakati anafanya tafiti zake. Lakini leo tunasikiliza redio, tunaangalia TV na kupiga simu kwa sababu ya tafiti hizo alizozifanya.
Na hii ndio tofauti kubwa kati ya Waafrica na Wazungu. Waafrica tunawaza kuhusu leo pekee, wakati wenzetu wanawaza mpaka miaka mia moja ijayo.
Ni tafiti kama hizi ndizo ziliwawezesha waingereza kutoka London mpaka kuja kubeba dhahabu huku Africa ndanindani kwa wasukuma [emoji28][emoji28][emoji28].
Tafiti za mwezini na sayari nyingine, zinaweza zisiwe na manufaa leo. Lakini zikaja kuleta matunda miaka ishirini ijayo. So relax, hawatumii hela zetu!
[emoji28][emoji28][emoji28]