Kuna faida kwa nchi au wanasayansi kupeleka chombo mwezini....

Faida zipo nyingi sana ikiwemo utalii, tafiti za uwezekano wa maisha nje ya orbit ya dunia. N.K
Faida nyingine kubwa ni pale wanapoamua zile teknolojia zilizopo kwenye hiyo space industry,kuzileta uraiani,mfano life supporting machine n.k
 
Wanawaza kula na kunya.
Wanadhani huko marekani hakuna masikini lakini mabilioni ya hela yanatumika kudhamini tafiti.
Kuna teknolojia mkishazijua hko umasikini mnauaga sekunde.
Bahati mbaya sana Technological gape likiwa kubwa kuja ku catch up inakuwa ndoto za mchana.
Imagine mpaka leo waafrika hatuna uwezo wa kuunda affordable engine, affordable ekectroni IC chip nk .
Ukiweza kuunda engine unaunda kifaa chochote unachotaka, gari boti,ndege nk
Ukiweza kuunda Chip unaweza unda vifaa vyovyote vya ki electronics na nduguze.
Tumekaa hapa tunajidanganya eti tujenge kwanza vyoo.
Bull shitii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…