Ukweli ni kwamba viongozi wengi wa Tanzania wanataman kushirikiana na nchi zifuatazao
Russia
China
UAE
Ila tatizo linakuja ni kuwa hizo nchi tajwa wao wapo kibiashara zaidi hawatoi fedha hovyo hovyo kama wazungu
Muarabu yupo radhi aje akujengee msikiti na sio akupe fedha za kuwezesha masuala ya kijamii kama elimu, afya, kilimo na ufugaji,
Nchi kama Russia wapo radhi wakujengee makanisa ya kiothodox ata kama hawana uhakika wa waumini na sio kufadhiri miradi ya afya
Ukifika maeneo ya iringa makanisa mengi ya Orthodox yamejengwa kwa misaada ya warusi lkn hayana waumini yamebaki kama magofu tu