Habarini za asubuhi wanajamvi . mimi ni kijana mwenye miaka 26 nimepata kazi ya uwalimu katika shule moja hapo mjini Dodoma ila msharaha wangu ni mduchu sana. Sasa nilikua nataka kujiongeza kufanya shughuri za biashara katika jiji hili na nimepata ugumu kujua biashara gani zinatoka na zinaweza kunikwamua ombi langu kwenu ni kunipa mawazo yenye kujenga ili niweze kupambana na hali ya maisha ya awam ya tano