guwe_la_manga
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 2,820
- 2,758
Wakuu, ni biashara gani inayoweza nitoa haraka kama nitaileta mpaka wa Namanga kwa sasa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nashukuru mkuuChai ya tangawizi pia Kafukize watu Hapo ndo wavuke
Alkasusu ili wafanyeje? Au una biashara mbili ndugu? Kuwa muwazi tuNashukuru mkuu
Vipi nikienda nikafungua biashara ya alkasusu?
Nasubiri jibu lakeAlkasusu ili wafanyeje? Au una biashara mbili ndugu? Kuwa muwazi tu
Nipeleke tangawizi na pia niwe na kijiwe cha kuuza kahawa na maziwa yaliyochemshwa muda wa asubuhi na jioniAlkasusu ili wafanyeje? Au una biashara mbili ndugu? Kuwa muwazi tu
Ili wanyweNasubiri jibu lake
Shukran mkuuKauze sanitizer na balakoa
Kweli Mkuu. Tunduma pale pamechanganya kuliko hata Mbeya mjiniDah ingekua boda la tunduma ningekushauri.....namanga lile boda limepoa sana
Shukrani mkuuGomba/veve
Nitajaribu nione,shukrani mkuuDah ingekua boda la tunduma ningekushauri.....namanga lile boda limepoa sana
Una ndugu tunduma?Dah ingekua boda la tunduma ningekushauri.....namanga lile boda limepoa sana
mkuu boda la tunduma ungemshauri niniDah ingekua boda la tunduma ningekushauri.....namanga lile boda limepoa sana