Kuna fursa gani za kibiashara pale Namanga Border kipindi hiki cha Corona?

guwe_la_manga

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2019
Posts
2,820
Reaction score
2,758
Wakuu, ni biashara gani inayoweza nitoa haraka kama nitaileta mpaka wa Namanga kwa sasa?
 
Alkasusu ili wafanyeje? Au una biashara mbili ndugu? Kuwa muwazi tu
Nipeleke tangawizi na pia niwe na kijiwe cha kuuza kahawa na maziwa yaliyochemshwa muda wa asubuhi na jioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…