Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Yes technologia inakua ila kwa gari ngumu za off road kama LC 70 bado wanatoa manual transmission kwa sababu wanajua wapenzi wa gari za off road na sports cars wanaprefer manual gearbox compare to auto. Ndio maana mpaka leo kuna gari kibao za 2021 zina opt ya manualMambo ya manual forget about it.Tunakoelekea gari zitakuwa full computerized and full automatic na mafundi washauri waende vyuo pia kwa sababu watapata taabu sana.Mkoloni manual hana muda mrefu tena sokoni.Technologia inakua in exponential form!