Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Yes technologia inakua ila kwa gari ngumu za off road kama LC 70 bado wanatoa manual transmission kwa sababu wanajua wapenzi wa gari za off road na sports cars wanaprefer manual gearbox compare to auto. Ndio maana mpaka leo kuna gari kibao za 2021 zina opt ya manualMambo ya manual forget about it.Tunakoelekea gari zitakuwa full computerized and full automatic na mafundi washauri waende vyuo pia kwa sababu watapata taabu sana.Mkoloni manual hana muda mrefu tena sokoni.Technologia inakua in exponential form!
Aisee manual tamu sanaDaah! Alafu upate kitu manual gearbox. Unapanda mlima kama unashuka vile
Sana. Watu hawajui tu. Ukitaka gari ya kazi hasa kupanda milimani na porini manual is the best optionAisee manual tamu sana
Tena hizi escudo sehemu ya kukaa cruizer yeye anapetaSana. Watu hawajui tu. Ukitaka gari ya kazi hasa kupanda milimani na porini manual is the best option
Kaka achana na hizi gari. Ni vile tu sasa hivi hazipatikani kiurahisi ila hapa Suzuki alicheza. Kuna Escudo, Jimny na Suzuki Maruti. Hizi gari ni true off roaderTena hizi escudo sehemu ya kukaa cruizer yeye anapeta
[emoji110][emoji110][emoji110][emoji110]Kaka achana na hizi gari. Ni vile tu sasa hivi hazipatikani kiurahisi ila hapa Suzuki alicheza. Kuna Escudo, Jimny na Suzuki Maruti. Hizi gari ni true off road
Mambo ya manual forget about it.Tunakoelekea gari zitakuwa full computerized and full automatic na mafundi washauri waende vyuo pia kwa sababu watapata taabu sana.Mkoloni manual hana muda mrefu tena sokoni.Technologia inakua in exponential form!