Ohoo tayar wew umeisha nasema ivi we umeisha kesho ukiamka ukakuta hujakufa njo hapa uniambie maan hao ni wasiojulikan wanakumendea.Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi
Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
Usiogope tuko doria kidogoNi Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi
Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
Huyu mtoa mada ni kama kachichanganya.Yaani gari mda wote imepaki getini hata ushtuki. Wewe ni wa kupima mkojo kabisa