Kuna gari imesimama nje ya nyumba yangu getini naogopa kutoka nje

Kuna gari imesimama nje ya nyumba yangu getini naogopa kutoka nje

Ni Land cruiser yenye vioo tinted imesimama nje ya geti toka saa nne usiku na imeondoka alfajiri ya saa kumi
Namba zake ni t 456 ... Iliwekwa kiubavu. Dirisha lilifungulikwa kidogo.
Ohoo tayar wew umeisha nasema ivi we umeisha kesho ukiamka ukakuta hujakufa njo hapa uniambie maan hao ni wasiojulikan wanakumendea.
 
Huyu mtoa mada ni kama kachichanganya.Yaani gari mda wote imepaki getini hata ushtuki. Wewe ni wa kupima mkojo kabisa
 
Huyu mtoa mada ni kama kachichanganya.Yaani gari mda wote imepaki getini hata ushtuki. Wewe ni wa kupima mkojo kabisa

Kapata hofu sio kajichabganya mtu atakujaje kupaki getini kwako ? anataka nini ? na amejiamini nini ?
 
Back
Top Bottom