Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mrejesho: saa 11:08
Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi. Vicheko vimetawala ndani ya gari hiyo
Aksanteni kwa maoni yenu na faraja yenu
Wadau hamjamboni nyote?
Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa
Ila kuna gari hapa V8 nyeusi imepaki Kijiweni kwetu muda mrefu kidogo na hatuoni mtu akiingia au akitokea
Hatujui gari mmiliki ni nani na inafanya nini maeneo yetu haya ya kujidai
Nikasema basi niwape hiyo taarifa Ndugu zangu
Hata hivyo amani imetawala kabisa na watu wanaendelea na ratiba zao za kawaida bila hofu
Wengi wetu hapa Kijiweni ni Wana CCM na nikiwatazama wote wana amani na furaha kabisa
Jioni njema