Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!

Mrejesho: saa 11:08

Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi

Aksanteni kwa maoni yenu na faraja yenu

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa

Ila kuna gari hapa V8 nyeusi imepaki Kijiweni kwetu muda mrefu kidogo na hatuoni mtu akiingia au akitokea

Hatujui gari mmiliki ni nani na inafanya nini maeneo yetu haya ya kujidai

Nikasema basi niwape hiyo taarifa Ndugu zangu

Hata hivyo amani imetawala kabisa na watu wanaendelea na ratiba zao za kawaida bila hofu

Wengi wetu hapa Kijiweni ni Wana CCM na nikiwatazama wote wana amani na furaha kabisa

Jioni njema
Weka Picha ni muhimu Sanaa otherwise ni uchochezi 😇
 
Kuweni makini ndgu,wanaye mhitaji Bado hajapita akipta utaona watu wanashuka na kumkamata na kuondoka naye.
Hujaeleza ni sehemu gani hapo ulipo,mkoa na wilaya
 
Mrejesho: saa 11:08

Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi. Vicheko vimetawala ndani ya gari hiyo

Aksanteni kwa maoni yenu na faraja yenu

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa

Ila kuna gari hapa V8 nyeusi imepaki Kijiweni kwetu muda mrefu kidogo na hatuoni mtu akiingia au akitokea

Hatujui gari mmiliki ni nani na inafanya nini maeneo yetu haya ya kujidai

Nikasema basi niwape hiyo taarifa Ndugu zangu

Hata hivyo amani imetawala kabisa na watu wanaendelea na ratiba zao za kawaida bila hofu

Wengi wetu hapa Kijiweni ni Wana CCM na nikiwatazama wote wana amani na furaha kabisa

Jioni njema
Sa si uchungulie......

Screenshot_20240720-192337~2.jpg
 
Duh sasa tunaelekea kwenye oparesheni tokomeza V8 na NOAH mtaani.
 
Siku hizi magari yamekuwa gesti bubu, watu wanachapana sana kwenye ndinga. So, yote yanawezekana...
 
Mrejesho: saa 11:08

Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi. Vicheko vimetawala ndani ya gari hiyo

Aksanteni kwa maoni yenu na faraja yenu

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa

Ila kuna gari hapa V8 nyeusi imepaki Kijiweni kwetu muda mrefu kidogo na hatuoni mtu akiingia au akitokea

Hatujui gari mmiliki ni nani na inafanya nini maeneo yetu haya ya kujidai

Nikasema basi niwape hiyo taarifa Ndugu zangu

Hata hivyo amani imetawala kabisa na watu wanaendelea na ratiba zao za kawaida bila hofu

Wengi wetu hapa Kijiweni ni Wana CCM na nikiwatazama wote wana amani na furaha kabisa

Jioni njema
Afadhali kama wameondoka kwa wema.Maana mngetueleza tu kama mmegawiwa pipi,kungezuka bonge la vagi aka varangati aka kurupushani.Muwe na amani,Aaamiini!🙏
 
Ukipigiwa simu usiishike ambayo ndio Signal kuwa ni wewe.

Kauka wacha iite mpaka ikate kisha kula kona halafu toka Baruti ukiona simu inaendelea kukupigia na wewe machale yanakucheza iuze nunua nyingine na line nyingine

Kumbuka it's a matter of life and death, kwasasa hivi hata kama una Mke mrembo au una ugomvi na Polisi jamii unaweza kupotezwa; na ikadaiwa kuwa wewe ni MwanaCHADEMA umemtukana Mama.
Ukiiuza ndio unakamatwa chap
 
Mrejesho: saa 11:08

Naona kuna mdada amewasili na kuingia ndani ya V8 imeondoka ikiendeshwa na Dereva mwanaume kavaa suti nyeusi. Vicheko vimetawala ndani ya gari hiyo

Aksanteni kwa maoni yenu na faraja yenu

Wadau hamjamboni nyote?

Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa

Ila kuna gari hapa V8 nyeusi imepaki Kijiweni kwetu muda mrefu kidogo na hatuoni mtu akiingia au akitokea

Hatujui gari mmiliki ni nani na inafanya nini maeneo yetu haya ya kujidai

Nikasema basi niwape hiyo taarifa Ndugu zangu

Hata hivyo amani imetawala kabisa na watu wanaendelea na ratiba zao za kawaida bila hofu

Wengi wetu hapa Kijiweni ni Wana CCM na nikiwatazama wote wana amani na furaha kabisa

Jioni njema
Ipigeni kiberiti.
 
Oho kumbe ni wana CCM?
Umeeleweka!
 
Back
Top Bottom