Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
KiraiaStk,stl,dfpa,su au plate number inasomajeee
Naogopa kukamatwaChukua picha gari
Shukrani kwa taarifa,ila kwanini unaogopa sana?Ni kwakuwa ipo jirani na makazi yako?Ama kwakuwa hufahamu mmiliki wake?Au unamishezako unazohofia kufuatiliwa?Wadau hamjamboni nyote?
Mimi ni raia mwema kabisa na sina hofu ya kukamatwa
Ila kuna gari hapa V8 nyeusi imepaki Kijiweni kwetu muda mrefu kidogo na hatuoni mtu akiingia au akitokea
Hatujui gari mmiliki ni nani na inafanya nini maeneo yetu haya ya kujidai
Nikasema basi niwape hiyo taarifa Ndugu zangu
Jioni njema
Wapate kesiKachungulieni ndan japo tinted uwenda dereva alizidiwa akapakii Ili ashuke apate msaada akashindwa na kuzima ndan ya garii mkuu,watu wanatembea wanaumwaa
Hapo ndio pale unasikia ushamba,mzigo.nakumbuka zamani ilikuwa tukiona gari jekundu limepita shuleni, ilikuwa ni mbio nyumbani, tulikuwa tunasema wanyonya damu. sijui zile stori zilianzia wapi. too bad hadi wakubwa zetu walikuwa wanaamini wanyonya damu
Hapa Kijiweni twanywa kahawaShukrani kwa taarifa,ila kwanini unaogopa sana?Ni kwakuwa ipo jirani na makazi yako?Ama kwakuwa hufahamu mmiliki wake?Au unamishezako unazohofia kufuatiliwa?
Chunguliaa ndaniiiKiraia
MmmmmChunguliaa ndaniii
Hapo kwenye wanachama wa CCM ndio nimecheka
Hahaha acha woga