Kuna gari V8 nyeusi imepaki hapa Kijiweni kwetu kitambo kidogo, hatujui nani mmiliki na kwanini ipo hapa!

Weka Picha ni muhimu Sanaa otherwise ni uchochezi 😇
 
Kuweni makini ndgu,wanaye mhitaji Bado hajapita akipta utaona watu wanashuka na kumkamata na kuondoka naye.
Hujaeleza ni sehemu gani hapo ulipo,mkoa na wilaya
 
Sa si uchungulie......

 
Duh sasa tunaelekea kwenye oparesheni tokomeza V8 na NOAH mtaani.
 
Siku hizi magari yamekuwa gesti bubu, watu wanachapana sana kwenye ndinga. So, yote yanawezekana...
 
Afadhali kama wameondoka kwa wema.Maana mngetueleza tu kama mmegawiwa pipi,kungezuka bonge la vagi aka varangati aka kurupushani.Muwe na amani,Aaamiini!🙏
 
Ukiiuza ndio unakamatwa chap
 
Ipigeni kiberiti.
 
Oho kumbe ni wana CCM?
Umeeleweka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…