Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

Kama mkataba una Non Exclosure Agreement (NDA), umevujishwa sasa,

Mbona hatuoni Kampuni hiyo ikisusia kuendelea Kwa mkataba?

Unatakiwa ujue tunaopinga mkataba huu ni Kwa Uzalendo wetu, hatujanunuliwa na yeyote.

Mnapambana na msiyemjua, tunataka Tanzania tajiri yenye kujitegemea kiuchumi na sio kuwa kuwadi wa kuuza Mali za Nchi Kwa wageni.

Sa100 hakuna namna unamkwepesha na lawama hizi.
 
On other side, Samia endelea kutunyoosha tu, wewe ni raisi wa 6 wa nchi hii. Waliopita kabla yako wamefanya mengi mazuri na watanzania hatuna shukrani, wamefanya mengi mabaya na sasa hivi wameyasahau kwa ajili ya kukupaka wewe ubaya!!!
Jiulize wewe mpingaji, kwa zaidi ya miaka 60 bandari mnaendesha mmepata faida gani kulinganisha na matunda tunayoyatarajia ya mkataba wa bandari??? Kwenye mkataba kila mtu atakula chake, mwarabu ataboresha atapata na sisi pia tutapata, endeleeni kupinga na wabunge wapumbavu wameshapitisha azimio!!!!
 
Umeandika porojo tu. Kwa Tanzania, Rais SSH apewe kashfa, achafuliwe na Mange au na mwingine yeyote, ikifika 2025 ataupata u-Rais tu.

Na ninaamini SSH hatishwi wala kutishika na kumsagia kwenu.

Rais kanyaga twende, hayo ni maneno tu hata kwenye kanga yamo.
 
Hizi ni nadharia, mzigo umeiga unga sana sana kinadharia
 
Nayeye amekubali?
 
Hizi ndo hoja ambazo tulianza kuzisema hapo awali na zikapuuzwa.

Waliomzunguka wameapa aanguke, wanajificha nyuma ya kivuli cha kumsifia ili waonekane wapo pamoja naye.

Sasa kuna puppets kibao wanafanya kila wawezalo kuharibu utendaji wa serikali kwa makusudi ili kuangusha legacy ya Rais.

Badala ya kumsaidia Rais wao wanamuangusha na kumuwekea ajali za kisiasa
 
Alishajiharibia sifa yeye mwenyewe🐒🐒🐒
View attachment 2652658
Alafu watu wanataka kumsifia kama anajua nchi inaliwa na wachache kipi kinamzuia kuchukua hatua. Kuna vitu hata uvitetee vipi watu wanaelewa kuwa hakuna kiongozi hapo. Imagine kiongozi anafuata matakwa ya wastaafu alafu tuseme anaweza ni ujinga bora ajue watu hatuelewi nn anachofanya
 
Nchi hii magenge ya Urais yatafikia level za mafia kama vyombo vya usalama hawatakuwa makini.

Issue ya bandari kama huu mkataba uliovuja sio waseme wazi lakini kama ni huu kwanza ufanyiwe marekebisho then tujadili siasa.
 
Mange Kimambi amelipwa kwa njia ya Bitcoin fedha zenye thamani ya 800 Million za kit0anzania. From last Month na aliambiwa asubiri assignement, this is the clear assigment .
Hapo unatupiga kamba.
Huyo akipewa hiyo hela utamuona hapo Airport kesho aje kuwalingishia.
 
Usiwe na akili ndogo.
Penye makosa hekima ni kusahihisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…