Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

Yeye tu huyu mama hayuko serious Sana huwezi ku saini mikataba mingi hivyo bila ya uwepo wa mwanasheria ndani ya muda mfupi hivyo mbele ya waarabu walivyo rough,katika ethics,amejichafua mwenyewe,bado ya amerika nako alienda akasaini mikataba mingi Sana akijidai anafungua nchi,
 
Kuna sehemu inafikirisha sana yaani wale wote waliofanya kazi na JPM mama aliwatengua isipokuwa wachache. Hili yeye binafsi bila kusikiliza moyo wake aliona ni sawa.
Polepole kiongozi yeyote mwenye akili huwezi kumuacha kwenye timu yako hasa uenezi. Rekodi ya polepole uenezi hata nape hawezi kuifunika. Result oriented approach.Aliweka discipline ndani ya chama, akina bashiru hata kama walikuwa na mapungufu lakini wangesaidia sana kuweka mistari.
Mikataba ambayo JPM hadharani aliiipinga mama ameenda kumwaga wini fasta. Kuna Cost benefit analysis yoyote toka kwake mwenyewe au anasikiliza intemediaires wanaolipwa 10% dubai wamejaa hawa wengine ni wastaafu wa vyombo vikubwa wanajiita maconsultant wamefungua na ofisi. Kazi ya upigaji kwa serikali za nchi zinapoingia mikataba.

Kubwa kwanza ni yeye mwenyewe namba moja huwa anafikiria kwa undani matendo kabla ya kupewa ushauri. Kama unamtoa kalemani nishati unamuweka kipara. Kipara angafaa foreign affairs au sanaa ndio alichosomea na kimemzunguka kichwani. Mentor wa kipara alikuwa ruge ambaye ni mzuri kwenye sanaa zaidi.

Nadhani muhusika anawajibu na ajitahidi awe na critical thinking. Mfano membe naona hilo la kufikiriwa kuwa mgombea mwenza limemponza mzee wa watu kwa tabia ya mbwa mwitu waliopo magambani.

La mange hilo linajulikana kwamba mpare ukimpa pesa atakugeuka jua la asubuhi.
 
Ila pamoja na yote hayo mama yuko imara sana na safu imara kweli, mengine ni propaganda tu kwa system ya nchi yetu hakuna wa kumtisha rais hata kidogo. Hawa ni nyau tu, sema rais sazingine awe mkali watanzania hawajawa wastaarabu kivile. Ukiangalia majaribu km ya wafanyabiashara kugoma kisa hawataki kufuata sheria ama za mipango miji au za mazingira siyo ya kuyakubali. Kila raia wa nchi hii aheshimu sheria, hatuwezi kugwaya kufuata sheria kisa kundi flani kwa maslahi yao hawataki kuifuata. Mfano wale wafanyabiashara wa Kariakoo kugoma ilikuwa kumjaribu rais, juzi tena Iringa wamegoma kwa kufunga biashara kisa hawataki kufuata sheria za mipango miji, watu wanataka kuishi ktk mazingira machafu km wachawi. Hebu waangalie kupitia youtube miji ya wenzetu hata hapa Africa tu.

Nchi gani raia wake hawataki usafi na mipango ya miji ya kisasa. Rais asipokuwa na msimamo watamyumbisha sana, watendaji wake wa chini watakatishwa tamaa wataacha mambo yajiendee. Mimi ni muumini wa kutii sheria, umejenga nyumba ya kisasa unataka tena ujenge vibanda kibarazani, vibanda vingine vya mbao, vingine vya bati, km siyo uchawi ni nini. Kibaraza ni njia ya wateja. Watanzania bado sana siyo wa kuwachekea utavuna mabua
 
Wajiulize km bandari za Marekani zinaendeshwa na DP World sisi kina yakhe ni nani tusibinafsishe uendeshaji wa bandari? Watu wanalishwa matango pori, wengine wanafuata mkumbo km nyumbu hakuna wanachoelewa. Tanzania ujinga Tanzania uko juu sana Serikali iwekeze muda wake kuelimisha raia wake
 
Mtu km Selemani Jaffo mbona yuko wazi kabisa, mama anamwogopea nini kumpumzisha? Wako watanzania wazalendo, wenye elimu zao, wazalendo, wachapakazi unamg'ang'ania mtu wa nini? Piga chini Jafffo kwa kuanzia.
 
Mtu km Selemani Jaffo mbona yuko wazi kabisa, mama anamwogopea nini kumpumzisha? Wako watanzania wazalendo, wenye elimu zao, wazalendo, wachapakazi unamg'ang'ania mtu wa nini? Piga chini Jafffo kwa kuanzia.
Wanasema umdhaniaye ndiye kumbe siye.

Watu wamejipanga na wanatekeleza agenda zao.

Inauma kuona nchi inakiwa kwenye hekaheka badala ya agenda za maendeleo. Sisi wakosoaji tunapenda kuona nchi yetu inasonga mbele. Lakini masuala ya kukwamisha uongozi kwa political gain haina tofauti na kujihujumu
 
Muda utaongea tu.
 
 

Attachments

  • IMG_0779.MP4
    1.4 MB
poisonous

poisonous "
Ni majangili haya, na kama hamuamini in less than a week to come anaweza kufariki mtu muhimu sana mmoja"

Nani huyo mtu muhimu atafariki siku chache zijazo?

Umejuaje huyo mtu atakufa?
 
Mkataba ule wa DP uliosambaa una saini ya Rais Samia, na siyo Mbarawa. Unataka kusema alitegeshewa ausaini? Na kama alitegeshewa, ina maana alitegeshewa na Mbarawa na mwanasheria mkuu. Ndivyo unavyodhania?
 
Unasainije mkataba wa watu milioni 62 unaweka NDA?
 
Unaongea utumbo tu Kwan sisi ndiyo tulimtuma akaingie hiyo mikataba fake na ya ovyo aliyo ingia
 
Hilo ni kawaida kwani huwezi kuwa mtawala na ukaeleweka kwa wote, watoto wako wa kuwazaa mwenyewe kabisa kuna mwingine anaweza asikuelewe na kukupiga vita ya kutosha
 
Ni kweli lipo na linaongozwa na Mbowe pamoja na mawakili uchwara wa CHADEMA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…