Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

Kuna Mtanzania ataandamana kesho?πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚

Mama anaupiga mwingi !...
 
Sifa huwa hazilazimishwi kama zipo zipo ,sasa saa100 anasifa gani ya maana mpaka sasa
 
Embu afe huyo mtu kwanza...
 
Tueleze bas manufaa ya hao wawekezaji ukilinganisha na kilichoandikwa kwenye mkataba ? Sio rahs kama unavyofkria
 
Hili suala halitaisha leo wala kesho na lazima Samia atambue. Huu MKATABA haufai na mbovu kuliko ubovu wenyewe!"
mkataba unasema Tanzania itaijulisha Dubai juu ya fursa zozote zilizopo, na zitakazokuwepo, hili ni tusi kubwa sana.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Once Eve lived at the garden of Eden, but her haunting spirit will always remain.through her daughters.

Wanaume kuthubutu kumpa mwanamke mmlaka ya kumtawala, ni njia iliyo dhahiri ya kujipeleka katika majuto na maangamizi makubwa.

CCM si muda mrefu wataliishi na kulitambua kwa kina neno hili.
 
Ulisema unapata kigugumizi kumlaumu Sa100.

Nani alaumiwe, na tufanye nini basi!!!!
 
Kwani ana sifa gani njema kwa Watanzania?
 
Tatizo sio urais tatizo ni kwa kuwa rais muislam
Waislamu wengi wenu huwa hamtumii ubongo kufikiria.

Nakumbuka shuke kuna.mwanafunzi alifukuzwa kwa utoro, wakaanza kusema kafukuzwa sababu ni muislamu. Wakati Kuna wakristo pia waliwahi kufukuzwa

Magufuli alikuwa mkristo alisema kila aina ya neno. Leo Samia asisemwe kisa nini? Au unamuona ni malaika?
 
Pamoja na yote hayo uliyoeleza. Kumbuka Samia wanamaaka katika njia zake mwenyewe. Kwa mkataba wa DP, hawezi kujinasua kukataliwa. Awe na njia nyoofu. Kuhusu Polepole mama mwenyewe alimtoa pale,na kmtupa Malawi, akaona haitoshi akampeleka Canada mbali kabisa asipate hata harufu ya nyumbani.

Aondolewe tu.
 
Unalinganisha matunda uliyoyapata na ambayo hujayapata. Hii sijaelewa kabisa. Matunda ya kwenye mafikirio unayapa uzito kuliko uliyoyapata. Kwamba Serikali imeshindwa kuboresha ili pawe na matunda zaidi. Kama Kuna kilichopatikana ilipaswa paangaliwe wapi tumekwama tufanikishe zaidi Kwa kuboresha. Unauza bandari nchi nzima. Si uzwazwa huu.
 
Logic ya kawaida tu, huwez kuingia biashara yoyote kabla hujaangalia ni faida zipi utazozipata na risks zake ni zipi, rais ameshamaliza huko ni juu yetu kuswitch nae kwenye transitionya maendeleo.
Ni ukweli mchungu kuwa kwa Tanzania hakuna kilichowahi kukwama kwa kuwa tu baadhi ya watu hamtaki jambo fulani, kubalini hali tuzoee. Dawa chungu ndio inayoponesha
 
Jamani anajiharibia mwenyewe kwa kuachia watu wake wafanye/ waamue wanavyotaka. Kila kitu tu anasukumia watu. Na yeye achekeche akili.
 
Adui wa mtu ni yeye Mwenye, asitafute mchawi, MKATABA ni mbovu MKATABA wa milele kweli. Alisaini vipi bila kusoma mkataba. Tusisigizie wasaka Urais Kama njia ya kumtoa kwenye makosa.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu tuache propoganda, kinachoharibu sifa ya Raisi ni matendo yake mwenyewe na sio watu!
Tuache kuongea maneno kama mazuzu na tushirikishe akili zetu badala ya mihemko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…