Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

Sio Canada ni cuba
 
Nyakati zote za siasa za Tanzania, kumekua na habari za uwepo wa magenge (aidha halisi au ya kubuni tu) ya kutaka kumtoa madarakani Rais anayeendelea, lakini yote hayajawahi fanikiwa kwa sababu moja tu. Rais huyo amedhibiti Chama chake, vyombo vyote vya ulinzi na usalama, mifumo yote ya uchaguzi na utoaji haki. Hivyo hata kwa samia hawatafanikiwa. Wangeweza kufanikiwa kama angekuwa ameshika madaraka miezi michache kabla ya uchaguzi, lakini anakaa miaka almost minne, ameshajikita vya kutosha. So, wanapoteza muda tu.
 
Samia alisema anafungua milango, sasa kufungua mpaka mbu wameingia wanauma watoto.
 
Mkuu tuache propoganda, kinachoharibu sifa ya Raisi ni matendo yake mwenyewe na sio watu!
Tuache kuongea maneno kama mazuzu na tushirikishe akili zetu badala ya mihemko!
mkuu, kuna namna nataka nikuelewe lakini kuna jambo hauko informed .
Taasisi ya urais ni complex sana, kuna maamuzi mazuri yakigeuzwa na watu na kuongewa in a negative way utaanza kumchukia mtu hata kama hana kosa.
It depends na mtu ameamua kuzungusha ama kutwist issue kivipi
Imagine Bwana YESU with all good things he did, mtu anakuja kusema mfano YESU hakuoa so alikua mdhaifu wa wanawake , utamjibu nini huyo mtu?
 
Samia alisema anafungua milango, sasa kufungua mpaka mbu wameingia wanauma watoto.
Watu wana mwelewa vibaya Rais , remember harakati za kupata mwekezaji mpya bandarini zimeanza toka Rais Magufuli yupo madarakani, Siasa hizi anayezi sponsor ni TICS na vijana wake akina Karamagi , vina muda basi? subirini box moja moja la classfied likifunguliwa mtashika midomo

Umewahi kujiuliza kwa nini Viongozi wengi sana wa dhehebu flani peke yao kwenye mgao wa ESCROW walihusika?
kwa nini hatukuona mashekh na viongozo wa madhehebu mengine?
unashangaa kwa sasa kuona watu wale wale wanawatetea TICS? connect dots wale waliopata mgao wa ESCROW ndio wako mstari wa mbele kupinga bandari, kuna mizigo watu walilkua wanapitisha bure
 
Honestly, kwa kiasi fulani mimi nimekuelewa vyema.

Lakini nina hoja kadhaa zinazohitaji majibu:,

1. Ina maana taasisi zinazolinda integrity na usalama wa Rais nazo ziko comprimised na kundi hili? Kama ni hivyo, kumbe kweli hatakiwi. Na Kwa kuwa kikatiba ni ngumu kumtoa, wanalazimika kumfyekelea mbali Kwa njia hii. Na ni kweli akikaa vibaya, wanaweza hata kumchinja (kumuua) kama walivyomfanya Magufuli 2017

2. Na cha muhimu zaidi ni hiki. Sawa, wabaya wake wamevujisha huo mkataba wakijua nini itakuwa ni reaction ya wananchi Kwa sababu ya ubovu wake. Lakini ni kwanini serikali (Rais) aliamua kuingia kwenye mkataba hatari Kwa nchi kama huu?

Possibly, tatizo sio hao watu (genge hilo) bali tatizo ni yeye mwenyewe!

Mfano tujiulize maswali kadhaa ya nyingeza. Mathalani;

✓ kwani yeye mwenyewe Rais Samia hayaoni haya kwa macho yake? Si anasema hupitia mitandao ya kijamii?

✓ Hayasikii malalamiko ya watu Kwa masikio yake?

✓ Ina maana kweli haoni ubaya na ubovu wa mkataba huu wa DP WORLD na kuchukua hatua za haraka kurekebisha ikibidi kuusitisha kwanza kabla mambo hayajamharibikia zaidi?

3. Mamlaka ya ku - hire na ku - fire yako mikononi mwake. Anasubiri kuwaondoa wote hao (genge hilo) kwenye nafasi zao haraka anaodhani wanataka kuharibu nchi?

MWISHO:

• Umelaumu wapinzani kuwa "wanacheza ngoma wasiyoijua". Kwa hili tu kumbe wewe hujui siasa. Unategemea upinzani ufanyeje? Uanze kulitafuta genge la ndani ya CCM linalopingana na genge la Rais wao ndani ya CCM na kuwapatanisha?

Haiko hivyo bro. Kama Kuna situation hii huko, Kwa upinzani ni opportunity ya kushambulia ili kuwa - weaken zaidi na zaidi.

• Kumbuka kuwa mgawanyiko kama huu ndani ya serikali ya chama kilicho madarakani kiasi cha kusalitiana wao kwa wao kiasi cha ku - disclose information hatari kama hizi si business ya vyama vilivyo nje ya serikali maarufu kama "vyama vya upinzani"

• Kwa hiyo, acha wacheze hiyo "ngoma wasiyoijua" kwa sababu Rais Samia ni mwana CCM mwenzenu na genge hilo ni la humohumo CCM. Likifanikiwa kumtoa kwenye reli, hiyo kiuhalisia na kisiasa ni furaha ya vyama vya upinzani kwa sababu vyenyewe vinapambana na yeyote atakayekuja ili mradi anawaikilisha CCM.

• All in all, sisi huku nje tunajadili mkataba wa DP WORLD na Samia kuuza bandari zote za bahari na maziwa yote ya Tanganyika. Ili mradi serikali inakiri kuwa kilichopo kwenye mikono ya wananchi ni mkataba halisi na vipengere vya mkataba huo kweli viko hivyo, basi moja kwa moja hilo ni tatizo kubwa na hatuna budi kusema huo mkataba haufai Leo na kesho, utupwe kulee kapuni otherwise, huyu mama anakwenda kutumia!
 
Sio kwa wasio na akili na njaa kama CCM, kama ni kweli wataitwa watapewa bahasha wote watatajana , Raisi wa TZ ana control usalama wa Taifa na hazina kama mali zake binafsi, akishindwa uchaguzi ni kushindwa kuiba kura tuu sio kingine, nasikia sasa hivi usalama iko chini ya Raisi moja kwa moja, pigeni majungu wao wako busy kuchapisha masanduku fake ili mama aendelee, CCM chama la hovyo sana
 
Mkuu, ni kwa sababu tu siku hizi kumakua na avery thin layer ,kati ya uzalendo kwa nchi , na uzalendo kwa vyama

Kwa mtu ambaye ni mzalendo wa nchi hawezi kusherekea nchi kushambuliwa
chama kushambuliwa ni sawa , lakini ikitokea taifa likashambulia utaifa wetu , hata kama aliyeko madarakani ni chadema , CCM hapaswi kushangilia maana mtu huyo hashambulii chama bali utaifa wetu.
Mama Samia ni RAIS wa nchi kwa sasa, genge linalomshambulia , halishambulii CCM linashambulia taasisi ya URAIS na chain yake ni kuwa wanashambulia taifa, malengo yao sio CCM , ndio maana out come ya wao kumnyofoa Rais Samia sio kwa manufaa ya CHADEMA ni manufaa ya wao wenyewe.

CHADEMA wanawasaidia hao jamaa kwenye vita yao bila kujua, CHADEMA 2015 walipoungana na Lowassa walikua wanapigana vita ya LOWASSA ,wakalazimika kula matapishi yao kuhusu LOWASSA ,wakidhani watapata serikali /dola

LOWASSA alienda chadema na watu wake akina OLE MEDEYE, sendeka kwa siri, na wengine wengi , hata akina MASHA ,HAMISI MGEJA na usaliti mkubwa possibly of all time ulifanyika muda huo.

CHADEMA na UKAWA kwa ujumla waliicheza ngoma hio bila kujua kua ilikua inachimba shima la falsafa zao za kupinga ufisadi , toka muda huo CHADEMA hawajawahi kuamka tena active kisiasa , wameshapoteza credibility kwenye jamii juu ya mapambano ya rushwa na ufisadi.

Kwa hio nikikwambia kuna genge CCM linampinga SAMIA sio kwa sababu Rais ni dhaifu , la hasha , ni kwa sababu Wanataka wawe wao maraisi kwa manufaa yao na watu wao lakini kupitia hio hio CCM na sio CHADEMA.

Ningekua mwenyekiti wa CHADEMA na vyama vingine mbadala ningejikita kwenye kujenga brand ya CHAMA kuliko kusubiri matukio
 
Achana na story za usaliti, Raisi hafanyi kazi yake vizuri au wanavyotaka wao ndio maana wanaongea, ndio siasa acha watu wawe free kuongea mawazo yao
 
Urais ni mamlaka kubwa mnoooo hapa Duniani, ni kubwa kiasi kwamba Hata Maandiko matakatifu yanaitambua mamlaka hii.


Samia huyu wa vichambo? Na mipasho?

Yeye sio wa kulia, Yeye alitakiwa kufanya Maamuzi ya uthubutu tu .

Kama walimtisha kua Wazuri hawafi, akaendelea kuwatia watu wa JPM Serikalini, akamponda JPM, Wacha alipwe, na haya ndio malipo .

Mimi simuonei huruma kabisa.


Ninachojua na chenye uhakika kabisa, Samia Hatogombea Urais 2025.


Sio tu Polepole, Kuna wakati ataanza kuwarejesha Pro Magufuli, Kwa faida zake binafsi .
 
Achana na story za usaliti, Raisi hafanyi kazi yake vizuri au wanavyotaka wao ndio maana wanaongea, ndio siasa acha watu wawe free kuongea mawazo yao
uko sahihi sana, watu ni vyema wakaongea wanavyotaka lakini pia kuna watu ambao uelewa wao ni mdogo kuliko wa kwako , ni vyema kukawa na balance ya ukweli na uongo
 
Urais ni Taasisi usi attack personality ya Rais , hakuna mahali Rais Samia amewahi kumkejeli JPM
Lakini tusisahau hata JPM alikua anawasema akina KIKWETE au umesahau?
 

poisonous mbona kama wame edit uzi wako?issue ya Kuhujumu Bwawa siioni ..
 

Nilifikiri Karamagi ndo owner wa Ticts?
Kuna watu wakubwa Ticts kuliko Karamagi?
 
Hilo genge linajulikana na wame-recruit magenge mengine. Hao ni kina Mpina , Ndugai, Bashiru na wenzao.

Wame-recruit magenge ya mashoga na wasagaji.
 
Hilo genge linajulikana na wame-recruit magenge mengine. Hao ni kina Mpina , Ndugai, Bashiru na wenzao.

Wame-recruit magenge ya mashoga na wasagaji.
Karamagi ndo yupo center...
Wame recruit Pengo,Slaa, Kitima...
Na waziri ambae poisonous hataki kumtaja bado... speculation zinapelekea watu kumhisi Madelu au February
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…