Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

We ni JINSIA Gani?

Watanzania wote Kwa Dini zao wanadai bandari Yao irudi mikononi mwao,wewe unapindisha HOJA unaingiza udini.
 
We ni JINSIA Gani?

Watanzania wote Kwa Dini zao wanadai bandari Yao irudi mikononi mwao,wewe unapindisha HOJA unaingiza udini.
Kwani imechukuliwa? Usotisemee.. Sema wasukuma, wachaga na wafuasi wa TEC. Kama udini mmeanza nyinyi. DP atakuja tu kuwekeza kwenye bandari wewe kwenu kagera na shinyanga Dar inakuhusu nini au mnataka tugawane mbao!!
 
Kwani imechukuliwa? Usotisemee.. Sema wasukuma, wachaga na wafuasi wa TEC. Kama udini mmeanza nyinyi. DP atakuja tu kuwekeza kwenye bandari wewe kwenu kagera na shinyanga Dar inakuhusu nini au mnataka tugawane mbao!!
Muungano hauvunjiki na hao wahuni watarudi walikotoka.

Tusubiri.
 
kiukweli kabisa, hii bandari alitakiwa apewe mchina, tenda sio dsm, pale pameshajaa, alitakiwa ajenge bandari mpya bagamoyo. Marekani wamempagawisha dp world ili ampiku mchina asiwe na influence kwetu, na dp world kwake ni faida kwasababu atacontrol bandari zote za bongo zisilete ushindani na zile za dubai, na kwa kuhakikisha hili ameweka kipengele kwamba tusiendeleze bandari zingine. mtu anakuja kuwekeza kwenye kiwanja chako kikubwa afu anasema sitaki ujenge chumba kingine. mjinga tu ndio anaweza akaona hapa hapana shida.
 
Ugolo mtupu umeandika

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Rais Samia ni smart and wise , asingekua smart and wise nchi hii ingekua chini ya jeshi sasa hivi.
Usichukulie busara na werevu kama udhaifu
 
sharti la kutoendeleza bandari nyingine liko kwa watu wa bagamoyo sio Dp world
 
Huwezi kuharibu sifa ya mtu ambaye yeye mwenyewe kaanza kujiharibia sifa.
 
Wewe kama unajiamini na unampenda RAISI wataje KWA MAJINA hao watu wabaya wa RAISI
 
Anajiharibia mwenyewe bana acheni kusingizia watu
 


Tatizo naloona ni Mama kujiamini. Akitaka heshima aendelee na mpango wa katiba kwa haraka. Achukuwe mawazo kwa watu na si kila mtu ni adui mfano kwenye mkataba sio kila mtu ni mpinga serikali!
 
Mtasingizia na Magenge bure., Sa100 mwenyewe anazingua. Mambo ya hili nalo mkalitazame unategemea nin.
 
  • Maamuzi yote ya binadamu yana mapungufu, japo mapungufu yanaweza kuzidiana.
  • Mh. Raisi pamoja na mamlaka ya 'ki-mungu' aliyopewa, bado anabaki kuwa binadamu.
  • Watu wanaposema, bila ya makubaliano ya pamoja, kiongozi fulani kakosea anaambiwa yupo kwenye genge.
  • Haya mambo ya kukwepa hoja za msingi yalianza kushika kasi zama za ubinafsishsji, kwa sasa ni saratani.
 
Ku
Kumbe!
 
Watu wanachota mabilioni,"hili nalo mkalitazame" chifu Hangaya vs chifu mangungo who is better?
 
sharti la kutoendeleza bandari nyingine liko kwa watu wa bagamoyo sio Dp world
MKataba unasema TZ will inform DPW .....inakuaje sharti la kuendeleza bagamoyo port liwe kwa bagamoyo ilihali nchi inatakiwa imjulishe kwanza dpw
 
Walio wengi ni wapumbavu sana aisee japo kuna wachache wako very smart
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…