Tafakari yetu
JF-Expert Member
- Apr 19, 2021
- 1,505
- 4,427
"Kuna gharama kubwa ya kuwa shujaa"
Kesi ya Mbowe ilipoanza tulisikia watu mbalimbali wakihudhuria mahakamani na wengine kushinikiza aachiwe, tulishuhudia mabalozi kutoka nchi za Marekani, Ujerumani na Ubelgiji wakihudhuria na kutoa matamko mbalimbali lakini Leo yupo pekee yake na makosa yake nyuma ya nondo.
Kwa huruma na kutambua makosa aliyonayo Mbowe dhidi ya jamhuri yake, Zitto akaja na mpango madhubuti wa kumnusuru kaka na kiongozi wake wa zamani kwa kumuombea msamaha lakini ili kuonekana shujaa anagomea huo msamaha.
Dunia imebadilika na Mbowe asitegemee anaweza kutoka mahabusu au mahakamani kwa watu kujitoa kwa ajili yake. Zile nyakati za kumpigania MTU kwa maandamano zimepitwa na wakati.
Kwangu Mimi ,Zitto ni shujaa aliyezielewa siasa za kisasa na anafanya siasa zenye mahitaji ya kisasa ila kwa CHADEMA na Mbowe watagharamika kutoka kuonekana mashujaa kwa kutumia mbinu za kizamani