Hii level ya ujuha ni next level. Itabidi miaka ijayo wanasaikolojia wafanye research kubwa ya nini kinaendelea.
Mimi nina wasiwasi kwamba kuna ushirikina mkubwa unaendelea, maana mbona Watanganyika wamekuwa mazwazwa kiasi hiki? Kuna giza kubwa sana naliona kwenye hii jamii ya Kitanganyika.
Nguvu ya giza imetanda sana juu ya hii jamii kiasi kwamba wamenasa kwenye huu uwendawazimu na maigizo.