Usiwe na hofu, kama ni nguvu ya giza mwanga utapatikana mapema na kwa kishindo kikubwa!Hii level ya ujuha ni next level. Itabidi miaka ijayo wanasaikolojia wafanye research kubwa ya nini kinaendelea.
Mimi nina wasiwasi kwamba kuna ushirikina mkubwa unaendelea, maana mbona Watanganyika wamekuwa mazwazwa kiasi hiki? Kuna giza kubwa sana naliona kwenye hii jamii ya Kitanganyika.
Nguvu ya giza imetanda sana juu ya hii jamii kiasi kwamba wamenasa kwenye huu uwendawazimu na maigizo.
Ni zaidi ya MwengeMwenge huo
Ni zaidi ya Ugali, tumerogwaTunakoelekea tutafanana na fisi kabisa kitabia.
Nadhani hata ugali sio chakula kizuri, huenda kinadumaza ubongo.
LabdaUsiwe na hofu, kama ni nguvu ya giza mwanga utapatikana mapema na kwa kishindo kikubwa!
Mods wamefuta na kuedit kuweka hoja zao.fafanua mtoa mada, changamoto kuu ni nini?
nimekumbuka walimu wangu wa hesabu, ukicopy swali vibaya ukasolve anakwabia wewe kwanini umejitunga swali lako, kwani swali nililoweka hulitaki? πMods wamefuta na kuedit kuweka hoja zao.
Ndo wanachokifanya mods wa Jf kama wanaweza basi waandike nyuzi zao tuwe wapenzi wasomaji tu.nimekumbuka walimu wangu wa hesabu, ukicopy swali vibaya ukasolve anakwabia wewe kwanini umejitunga swali lako, kwani swali nililoweka hulitaki? π
Mkuu Omar Mnyeshani alibadili imani kawa mlokole unajua hiloKafara LA Lindi LA kina Omari mnyeshani linahusika!!!
Kila jambo linaongozwa na upande wa pili wa kiroho!hakuna jambo la bahati mbaya!
Wewe ulivyo ni matokeo ya kiroho chako,kikichafuka na na wewe unachafuka!!
Omar Mnyeshani huyu hapa kawa Mkristo πππππKafara LA Lindi LA kina Omari mnyeshani linahusika!!!
Kila jambo linaongozwa na upande wa pili wa kiroho!hakuna jambo la bahati mbaya!
Wewe ulivyo ni matokeo ya kiroho chako,kikichafuka na na wewe unachafuka!!
Hapana kuna Nuru kubwa!! Creatures of light we will take this by force.Hii level ya ujuha ni next level. Itabidi miaka ijayo wanasaikolojia wafanye research kubwa ya nini kinaendelea.
Mimi nina wasiwasi kwamba kuna ushirikina mkubwa unaendelea, maana mbona Watanganyika wamekuwa mazwazwa kiasi hiki? Kuna giza kubwa sana naliona kwenye hii jamii ya Kitanganyika.
Nguvu ya giza imetanda sana juu ya hii jamii kiasi kwamba wamenasa kwenye huu uwendawazimu na maigizo.
AmenHapana kuna Nuru kubwa!! Creatures of light we will take this by force.