Kuna Group Linajiita JamiiForums linapotosha Umma

Kuna Group Linajiita JamiiForums linapotosha Umma

Restless Hustler

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2017
Posts
5,150
Reaction score
20,025
Wahusika chukueni hatua za kisheria dhidi ya group lililopo FB linalojiita JamiiForums.

Group hilo Linatumiwa nawatu wenye nia mbaya kuchonganisha watu na taasisi private na hata kuupotosha umma.

Uongozi wa JamiiForums chukueni hatuza kwani watu wengi hudhani kuwa Nyie ndiyo mnamiliki Hilo group.

Mfano, Screenshot ya Post niliyoambatanisha hapa Mkienda kusoma comments, Nyingi zinaitukana JamiiForums.

Cc Maxence Melo

Screenshot_20231005-181333.png
 
Hawajapotosha wametoa habari na msimamo wa papa kama ilivyo hata BBC wamereport habari hiyo
Hakuna sehemu Papa amesema hayo maneno,hata BBC wamepelekewa Moto mpaka wamehariri huo ushoga wao.

BBC wanatumia nafasi yao kuzoa watu mazumbukuku wasiojitambua ili ajenda zao za Siri zipate kupenya,Kama hapa nawewe umejaa.
 
Ipo dhahiri Papa anaunga mkono LGBTQ siyo mara ya kwanza kuonyesha hilo haiwezi kuwa bahati mbaya kwa mara 3 mfululizo eti na watu wawe hawaelewi inamaana wenye uwezo wa kuelewa mpo watu wachache tu sisi wote tuliobaki hatuna uwezo wa kuelewa? Tafakari.
 
Yale yalikuwa Maoni ya papa yaani mapendekezo yake binafsi na Siyo msimamo wa Kanisa. Hata BBC hawakuripoti hivyo. Hizi Media uchwara Ndizo zinapotosha.
Headline lazima iwe na mvuto,ili mtu ahamasike kuifungua habari kiundani, hiyo ni mbinu ya kiuandishi hajapotosha,atakuwa amepotosha kama content itakuwa inaendana na headline,kiongozi.
 
Ipo dhahiri Papa anaunga mkono LGBTQ siyo mara ya kwanza kuonyesha hilo haiwezi kuwa bahati mbaya kwa mara 3 mfululizo eti na watu wawe hawaelewi inamaana wenye uwezo wa kuelewa mpo watu wachache tu sisi wote tuliobaki hatuna uwezo wa kuelewa? Tafakari.
Point
 
Back
Top Bottom