Sio serikali kanisa lina taratibu tofauti kdgKanisa ni jengo tu papa ndo kiongozi msimamo wake ndo msimamo wa kanisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio serikali kanisa lina taratibu tofauti kdgKanisa ni jengo tu papa ndo kiongozi msimamo wake ndo msimamo wa kanisa.
Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.Hawajapotosha wametoa habari na msimamo wa papa kama ilivyo hata BBC wamereport habari hiyo
Mnajaribu kujificha kwenye shamba la karanga [emoji1787]Hakuna sehemu Papa amesema hayo maneno,hata BBC wamepelekewa Moto mpaka wamehariri huo ushoga wao.
BBC wanatumia nafasi yao kuzoa watu mazumbukuku wasiojitambua ili ajenda zao za Siri zipate kupenya,Kama hapa nawewe umejaa.
Ushetan sana.Papa Francis amependekeza kuwa atakuwa tayari kuona Kanisa Katoliki likibariki wapenzi wa jinsia moja.
Akijibu kundi la makadinali waliomwomba ufafanuzi juu ya suala hilo, alisema ombi lolote la baraka linapaswa kushughulikiwa na "hisani ya kichungaji".
"Hatuwezi kuwa majaji ambao wanakanusha tu, kukataa na kuwatenga," alisema.
Aliongeza, hata hivyo, kwamba Kanisa bado linachukulia uhusiano wa jinsia moja "kuwa dhambi" na halitatambua ndoa za jinsia moja.Ombi hilo lilikuwa mojawapo ya idadi iliyotumwa kwa Papa kabla ya mkutano wa kimataifa wa wiki nzima kujadili mustakabali wa Kanisa unaotarajiwa kuanza mjini Vatican siku ya Jumatano.
Katika Kanisa Katoliki, baraka ni maombi au ombi, ambalo kwa kawaida hutolewa na mhudumu, akimwomba Mungu amtazame mtu au watu wanaobarikiwa.
Maaskofu katika nchi kadhaa, ikiwa ni pamoja na Ubelgiji na Ujerumani, wameanza kuwaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsia moja, lakini msimamo wa mamlaka ya Kanisa ulibakia kutoeleweka.
Mnamo 2021, kufuatia ombi kama hilo la ufafanuzi, ofisi ya mafundisho ya Vatikani iliamua kutoruhusu zoea hilo.
Akijibu ombi la hivi punde zaidi, Papa alisema kwamba Kanisa linaelewa ndoa kuwa "muungano wa kipekee, thabiti, na usioweza kutenganishwa kati ya mwanamume na mwanamke" na inapaswa kuepuka "aina yoyote ya ibada au sakramenti ambayo inaweza kupingana na imani hii".
Lakini aliongeza kuwa "baraka inapoombwa, ni kuonyesha ombi kwa Mungu kwa msaada, dua ya kuishi bora".
"Busara ya kichungaji lazima itambue vya kutosha kama kuna aina za baraka, zinazoombwa na mtu mmoja au zaidi, ambazo hazileti dhana potofu ya ndoa," alisema.
Akionekana kupendekeza kwamba maombi ya baraka yazingatiwe kwa msingi wa kesi baada ya kesi, alisema kwamba "maamuzi ambayo yanaweza kuwa sehemu ya busara ya kichungaji katika hali fulani haipaswi kuwa kawaida".
"Sheria ya Canon haifai na haiwezi kufunika kila kitu," alisema.
Aliongeza kuwa Kanisa linapaswa kukaribia uhusiano wake na watu kila wakati kwa "fadhili, uvumilivu, ufahamu, huruma, na kutia moyo".
Mnamo Februari, kura ya viongozi wakuu katika Kanisa la Uingereza iliunga mkono mapendekezo ya kuruhusu maombi ya baraka kwa wapenzi wa jinsia moja.
Hatua hiyo ilimaanisha kwamba wanandoa wa jinsia moja wanaweza kwenda katika kanisa la Anglikana baada ya sherehe ya ndoa halali kwa ajili ya huduma zikiwemo maombi ya wakfu, shukrani, na baraka za Mungu.
Hii dunia kuna watu wajinga sanaKwani wewe utakubali hata akisema Papa
Yanger haoNinalolijua ni hili
Inadaiwa kuwa Wakandarasi wanafanya ukarabati wa Uwanja wa Taifa, wamekuta fuvu la kichwa cha Binadamu wakati wakiondoa nyasi za zamani.
- Uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa kuoweka nyasi mpya katika sehemu ya kuchezea.View attachment 2772944
Sent using Jamii Forums mobile app
haieleweki ..haina uhusiano mbona na hii mada! afu hii si ya 2018?? au mimi ndo sielewiMARA: Mwili wa Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami, Samson Josiah waokotwa na Wavuvi katika Mto Ndabaka ukiwa kwenye mfuko wa sandarusi
Zaidi, soma => Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye KirobaView attachment 2772945
Sent using Jamii Forums mobile app
Na bado, hawajachimbua vizuri. 🤣Ninalolijua ni hili
Inadaiwa kuwa Wakandarasi wanafanya ukarabati wa Uwanja wa Taifa, wamekuta fuvu la kichwa cha Binadamu wakati wakiondoa nyasi za zamani.
- Uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa kuoweka nyasi mpya katika sehemu ya kuchezea.View attachment 2772944
Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna anayejificha kwenye shamba la karanga au mchicha,tunajaribu kukuchanua kwamba hapa mlengwa ni wewe ili ujae.Mnajaribu kujificha kwenye shamba la karanga [emoji1787]View attachment 2772972
Sasa hicho chombo cha habari RT kilichoripoti ni BBC? Kwanini mnaishambulia BBC tuuhakuna anayejificha kwenye shamba la karanga au mchicha,tunajaribu kukuchanua kwamba hapa mlengwa ni wewe ili ujae.
lakini kama ilivyo ada,huwezi kuelewa maana tayari umeshajaa.
kwa sababu BBC inasikika na wajinga wengi,hasa wanaoelewa kiswahili.Sasa hicho chombo cha habari RT kilichoripoti ni BBC? Kwanini mnaishambulia BBC tuu
Nimeitoa JF FBhaieleweki ..haina uhusiano mbona na hii mada! afu hii si ya 2018?? au mimi ndo sielewi
More evidences.Hakuna sehemu Papa amesema hayo maneno,hata BBC wamepelekewa Moto mpaka wamehariri huo ushoga wao.
BBC wanatumia nafasi yao kuzoa watu mazumbukuku wasiojitambua ili ajenda zao za Siri zipate kupenya,Kama hapa nawewe umejaa.
Kwa mkapa hatoki mtu. Hawa nyau FC wachawi Sana. Kama waliweza kuroga mchana kweupe....hao wakandarasi wachimbe zaidi labda watakutana na matunguli mengine.Ninalolijua ni hili
Inadaiwa kuwa Wakandarasi wanafanya ukarabati wa Uwanja wa Taifa, wamekuta fuvu la kichwa cha Binadamu wakati wakiondoa nyasi za zamani.
- Uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa kuoweka nyasi mpya katika sehemu ya kuchezea.View attachment 2772944
Sent using Jamii Forums mobile app