Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
Yale yalikuwa Maoni ya papa yaani mapendekezo yake binafsi na Siyo msimamo wa Kanisa. Hata BBC hawakuripoti hivyo. Hizi Media uchwara Ndizo zinapotosha.Hawajapotosha wametoa habari na msimamo wa papa kama ilivyo hata BBC wamereport habari hiyo
Kanisa ni jengo tu papa ndo kiongozi msimamo wake ndo msimamo wa kanisa.Yale yalikuwa Maoni ya papa yaani mapendekezo yake binafsi na Siyo msimamo wa Kanisa. Hata BBC hawakuripoti hivyo. Hizi Media uchwara Ndizo zinapotosha.
Hakuna sehemu Papa amesema hayo maneno,hata BBC wamepelekewa Moto mpaka wamehariri huo ushoga wao.Hawajapotosha wametoa habari na msimamo wa papa kama ilivyo hata BBC wamereport habari hiyo
Ipo dhahiri Papa anaunga mkono LGBTQ siyo mara ya kwanza kuonyesha hilo haiwezi kuwa bahati mbaya kwa mara 3 mfululizo eti na watu wawe hawaelewi inamaana wenye uwezo wa kuelewa mpo watu wachache tu sisi wote tuliobaki hatuna uwezo wa kuelewa? Tafakari.Hakuna sehemu Papa amesema hayo maneno,hata BBC wamepelekewa Moto mpaka wamehariri huo ushoga wao.
BBC wanatumia nafasi yao kuzoa watu mazumbukuku wasiojitambua ili ajenda zao za Siri zipate kupenya,Kama hapa nawewe umejaa.
Headline lazima iwe na mvuto,ili mtu ahamasike kuifungua habari kiundani, hiyo ni mbinu ya kiuandishi hajapotosha,atakuwa amepotosha kama content itakuwa inaendana na headline,kiongozi.Yale yalikuwa Maoni ya papa yaani mapendekezo yake binafsi na Siyo msimamo wa Kanisa. Hata BBC hawakuripoti hivyo. Hizi Media uchwara Ndizo zinapotosha.
Machi 9, 2018, JamiiForums iliripoti kutoweka kwa mfanyabiashara huyo na gari lake kukutwa limechomwa moto
PointIpo dhahiri Papa anaunga mkono LGBTQ siyo mara ya kwanza kuonyesha hilo haiwezi kuwa bahati mbaya kwa mara 3 mfululizo eti na watu wawe hawaelewi inamaana wenye uwezo wa kuelewa mpo watu wachache tu sisi wote tuliobaki hatuna uwezo wa kuelewa? Tafakari.
Inahusika na mada hii?Ninalolijua ni hili
Inadaiwa kuwa Wakandarasi wanafanya ukarabati wa Uwanja wa Taifa, wamekuta fuvu la kichwa cha Binadamu wakati wakiondoa nyasi za zamani.
- Uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa kuoweka nyasi mpya katika sehemu ya kuchezea.View attachment 2772944
Sent using Jamii Forums mobile app
Out of the truckMARA: Mwili wa Mmiliki wa Mabasi ya Super Sami, Samson Josiah waokotwa na Wavuvi katika Mto Ndabaka ukiwa kwenye mfuko wa sandarusi
Zaidi, soma => Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye KirobaView attachment 2772945
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupe chanzo cha taarifaNinalolijua ni hili
Inadaiwa kuwa Wakandarasi wanafanya ukarabati wa Uwanja wa Taifa, wamekuta fuvu la kichwa cha Binadamu wakati wakiondoa nyasi za zamani.
- Uwanja huo unafanyiwa ukarabati kwa kuoweka nyasi mpya katika sehemu ya kuchezea.View attachment 2772944
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanisa siyo jengoKanisa ni jengo tu papa ndo kiongozi msimamo wake ndo msimamo wa kanisa.
OK papa kashatoa msimamo wake amemaliza.Kanisa siyo jengo