Kuna Group Linajiita JamiiForums linapotosha Umma

mpaka siku ukija kushtuka kwamba watu wako mission ili upakuliwe,tayari hutakuwa na linda.

kwahiyo hizo ndio evidence za papa akizungumza[emoji38][emoji38][emoji38].
Nakwambia hivi PAPA wenu huyo ana Unga mkono ndoa za jinsia moja ushoga.

Una zunguka zunguka wakati ukweli ndio huo.

Huenda hata huyo papa wenu anafukunyuliwa.
 
Nakwambia hivi PAPA wenu huyo ana Unga mkono ndoa za jinsia moja ushoga.

Una zunguka zunguka wakati ukweli ndio huo.

Huenda hata huyo papa wenu anafukunyuliwa.
Papa haungi mkono ndoa za jinsia moja na msimamo wake uko wazi siku zote,kwamba ni DHAMBI.

Kama mnatafuta uhalali na ajenda zenu inabidi mseme wazi.sio kudandia kauli za papa.
 
Yale yalikuwa Maoni ya papa yaani mapendekezo yake binafsi na Siyo msimamo wa Kanisa. Hata BBC hawakuripoti hivyo. Hizi Media uchwara Ndizo zinapotosha.
Ni kweli kuna kautofauti na BBC walivyoripoti , hawa ni wameripoti kama hilo suala limepitisha na kanisa kubwa halali lakinibbbc wameripoti " kanisa katoliki lafikiria kubariki (kuruhusu)......." Means halijapitishwa
 
Hawajapotosha wametoa habari na msimamo wa papa kama ilivyo hata BBC wamereport habari hiyo
...Ni wewe Mkuu ndio uko huko FB ?? Mbona unatetea Sana ???? [emoji57][emoji57]
 
....Na WASIOELEWA ndio Wengi, wewe ukiwa mmoja wapo...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…