Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Nasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini.
Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu, so kinachofatia ni mme kuomba fidia ili asichukue hatua yoyote ambayo aliefumaniwa hatapenda imfikie.
Sasa sijui mme na mke wanapanga fumanizi au ni mme anafuatilia taratibu hadi anawashtukiza.