Mambo ya hovyo sana, fumanizi inapaswa kufanywa kosa la jinai kwani inaingilia faragha za watu.Nasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini.
Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu, so kinachofatia ni mme kuomba fidia ili asichukue hatua yoyote ambayo aliefumaniwa hatapenda imfikie.
Sasa sijui mme na mke wanapanga fumanizi au ni mme anafuatilia taratibu hadi anawashtukiza.
Mbona rahisi tu KUKWEPA huo mtegoNasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini.
Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu, so kinachofatia ni mme kuomba fidia ili asichukue hatua yoyote ambayo aliefumaniwa hatapenda imfikie.
Sasa sijui mme na mke wanapanga fumanizi au ni mme anafuatilia taratibu hadi anawashtukiza.
HahahahahjahMbona rahisi tu KUKWEPA huo mtego
1. Mwambie mahala mnapoenda mapema na mpitie alipo ukiwa na usafiri wako hata ikibidi azima
2. Elekea njia ya pale pahala ulimwambia halafu jifanye ghafla kuwa nafasi zimejaa
3. Mkiwa mnaenda pahala pengine mnyang'anye simu na ikibidi izime kabisa
4. Hakikiksha unapakua hadi masega
NB: ARV utanunua hakuna tena ufadhili
Serikali ipige marufuku ndoa, hii tabia ya kujimilikisha mtu ni utumwa. Acha watu walane kwa mapenzi yao akipata mwingine aendelee bila kubughudhiwa.Mambo ya hovyo sana, fumanizi inapaswa kufanywa kosa la jinai kwani inaingilia faragha za watu.
Ni kuwa makini na mwanamke usiyemjua vizuri, Miaka michache hapo nyuma nasikia palikuwa na wizi unaofana hivi.Aiseeπ
Aiseee hii ni hatari duuhNi kuwa makini na mwanamke usiyemjua vizuri, Miaka michache hapo nyuma nasikia palikuwa na wizi unaofana hivi.
Mtu anakuwa na mwanamke wake sehemu ambaye ni mpya mpya linatokea kundi la watu linaanza kumtukana huyo mwanamke na kumwita malaya, mzinzi kisha unageukiwa na kuulizwa unafanya nini hapo na mke wa mtu wengine wakirikodi.
Kama ni mwoga mwoga na makofi unakula kisha wanakupa option ununue hizo video na kulipa fidia au wazirushe mitandaoni.
Siku hizi kawaida sana hiyo sijui ni kutokana na hali ngumu ya maisha.Ukiona mashambulizi kwa mke si ya kumdhuru mwili au utu wake basi Wanapanga. Hata mjini huku.
Wameishiwa hivi baada ya mfadhili wao Magu kutoweka siyo?Nasikia ina watarget zaidi matajiri wa huko Geita, haswa hawa wa migodini.
Unakuta mke wa mtu ni chombo anakubaliwa na tajiri mmoja wana plan kukutana lodge then anafumaniwa ghafla na mme wa mtu, so kinachofatia ni mme kuomba fidia ili asichukue hatua yoyote ambayo aliefumaniwa hatapenda imfikie.
Sasa sijui mme na mke wanapanga fumanizi au ni mme anafuatilia taratibu hadi anawashtukiza.
ππππππππππππWameishiwa hivi baada ya mfadhili wao Magu kutoweka siyo?
Hii inabidi iwekwe kwenye katiba mpyaSerikali ipige marufuku ndoa, hii tabia ya kujimilikisha mtu ni utumwa. Acha watu walane kwa mapenzi yao akipata mwingine aendelee bila kubughudhiwa.