Kuna habari mbaya na za uongo zinazidi kusambaa mtaani.

Powder

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2016
Posts
4,977
Reaction score
6,635
Kuna habari zinasambaa kuhusu Mimi nna ni habari za uongo, nimekuja hapa kkukanusha habari hizi kwa nguvu zote...

Habari zinazosema kwamba Mimi Powder sili PILAU ni habari za uongo zinazoenezwa na watu wenye nia mbaya na Mimi...

Hivyo naomba mzipuuze habari hizo popote mtapozisikia, Mimi Leo nipo Idle tu....na Pilau naigonga kwa ufundi Mwingi, iwe fresh au Kipolo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…