Mr Mjs
Member
- Mar 22, 2024
- 29
- 20
Utumishi kupitia Tamisemi walianzisha mfumo rasmi kwa watumishi kuweza kuomba uhamisho kupitia online (ESS), lengo likiwa ni kuzuia urasimu unaofanywa na baadhi ya watendaji wasio waadilifu.
Japo ni jambo jema lakini kwa sasa ni kama changamoto imekuwa kubwa kuliko awali kwa wale wanaoomba uhamisho. nimekutana na mdau analalamika kuwa amewasilisha ombi la kubadirishana kituo cha kazi inakata mwezi na zaidi sasa Halmashauri yake hawajaapprove ili hali Kwa mwenzie walisha approve ili waweze kuendelea na hatua inayofuata.
Swali likaja ni kwamba wahusika ngazi ya Halmashauri hawawezi kutumia mfumo ama vipi? maana haiwezekani mtu uhamishowake ukae zaidi ya mwezi bila kuwa approved.