Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Mkuu watakuja hapa kusema zitaajiri walimu lakini ukweli ni kuwa ni ubabaishaji tu, hizi za Sasa hazina walimu hasa wa sayansi. Pia shule za msingi zina uhaba mkubwa wa walimu. Hakuna awazaye hayo, kila siku kuibua miradi ya Matrilioni na Billions. Nani anaishauri hii serikali?Mi naona tofauti na wewe...
Ni bora wangejenga VETA, shida mkopeshaji kaweka masharti ziboreshe elimu ya secondary hasa kwa watoto wa kike. Sasa kwanini wasijenge mabwei au hostels kwa shule za kata ili kuwapunguzia mimba na kushindwa kuhitimu?Secondari zote zingeboreshwa kuwa veta,elimu sekondari olevel iunganiswe primary.
Tuacheni tufanye siasa jamani, tuko bizeeeMada hapo juu yaeleweka.
Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26....
Hili tunashauri sanaSecondari zote zingeboreshwa kuwa veta,elimu sekondari olevel iunganiswe primary.Wachache ufaulu wa juu waende A level na vyuo.Itaongeza tija nguvu kazi na kupunguza tatizo la ajiri.
Mkuu nadhani hizi hela za mkopo wa World Bank zina masharti. Wameambiwa waboreshe elimu ya secondary hasa kwa wasichana, wao wamekimbilia kujenga shule mpya ili wale 10 percent kupitia ujenzi.Hili tunashauri sana
Chuo cha Veta kimoja kilichokamilika ni bora zaidi kuliko shule za Sekondari 100
Serikali inaweza kufanya vizuri endapo itatengeneza Vyuo vya Veta badala hata ya hizo sekondari 1000
Hizo shule 1056 zitakuwa za kisasa full package Zina kila kitu,acha kukariri maishaSwali: Kwanini tuhangaike kujenga shule nyingne ilihali secondary za Sasa hazina nyumba za walimu, maabara na mabweni huku wasichana wakipigwa mimba kila siku
Kuna kata zaidi ya 3800 Tanzania, vijiji zaidi ya 1226, Nadhani hapa kila kiongozi atapendelea kwao.Kwahiyo itakuwa kila kijiji badala ya kila kata au kata moja itakuwa na shule 2
Kwanini wasiboreshe za Sasa?Hizo shule 1056 zitakuwa za kisasa full package Zina kila kitu,acha kukariri maisha
Alitakiwa aboreshe hizi za Sasa?Asante sana kwa kuileta mada hii hapa.
Kuna umuhimu wa Serikali ku-review au kupitia tena mfumo wa elimu wa nchi hii, tena Serikali ilichukulie jambo hili seriously kabisa!.....
Si wangejenga mabweni ktk shule za Sasa kuepuka kutembea huko kwa miguu kuisaka elimu?Tusipinge kila kitu
Ujenzi wa shule mpya kuna saidia kupunguza changamoto hasa katika maeneo ambayo watoto wanalazimika kutembea umbali mrefu kuitafuta elimu.
Ni bora wangejenga VETA, shida mkopeshaji kaweka masharti ziboreshe elimu ya secondary hasa kwa watoto wa kike. Sasa kwanini wasijenge mabwei au hostels kwa shule za kata ili kuwapunguzia mimba na kushindwa kuhitimu?
Hujui kama idadi ya wanafunzi imeongezeka mara dufu hadi shule zingine zimeelemewa kupokea wanafunzi?So wangejenga mabweni ktk shule za Sasa kuepuka kutembea huko kwa miguu kuisaka elimu?