ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Nchi ya Afrika Kusini ni kati ya Nchi zinaongoza Kwa viwanda Africa lakini pamoja na kuwa na Viwanda vingi ila ndio Nchi inaongoza Kwa unemployment kubwa Kanda ya SADC Kwa zaidi ya asilimia 33% kiasi kwamba Xenophobia inachangiwa zaidi na Vijana kukosa Ajira.
Kiwango cha ukosefu wa ajira nchini Afrika Kusini kimeongezeka hadi asilimia 33.6 katika robo ya pili ya mwaka 2026, kutoka asilimia 32.7 katika robo ya kwanza.
Takwimu mpya kutoka Idara ya Taifa ya Takwimu zinaonyesha kuwa idadi ya watu wasio na ajira imeongezeka hadi kufikia jumla ya milioni 8.5, huku idadi ya watu walioajiriwa ikipungua kwa watu 16,000, na kufikia milioni 16.7.
Takwimu hizo zinaonyesha kupotea kwa ajira katika sekta mbalimbali, ikiwemo huduma za jamii na kijamii, madini, kilimo, viwanda na huduma za umeme na maji.
Upotevu mkubwa zaidi wa ajira umeonekana katika majimbo ya Western Cape, Gauteng na Northwest.
Maafisa hawakutoa sababu za wazi za kushuka kwa ajira, hivyo sababu zinazoendelea kusababisha ongezeko la ukosefu wa ajira bado hazijawekwa wazi.
Swali linaloibuka ni kwamba hivi ni kweli Viwanda vingi vinaondoa shida ya Ajira? Mathalani Mkoa wa Pwani inaongoza Kwa Viwanda Tanzania ila ndio uko top 10 ya Mikoa maskini.
My Take
Sekta ya Kilimo ,Uvuvi ,mifugo na Huduma ndio zipewe kipaombele zinaweza kutatua shida ya Ajira kuliko kulazimisha Viwanda Kwa kuiga mifumo ya kale iliyoshindwa.