Hakuna tena ukiwashtaki wanakubambikizia kesi ya mauaji au ubakajiKwani hakuna hatua za kisheria zinazoweza kuchukuliwa dhidi ya polisi wanaokiuka maadili ya kazi zao?
Hivi mkuu unaishi Tanzania kweli?au inawezekana una ka nyadhifa flani!Mtaarifu mkuu wake wa kazi (OSS).
Hapa tatizo ni hofu ya kuzushiwa kesi ya uongo!Hakuna tena ukiwashtaki wanakubambikizia kesi ya mauaji au ubakaji
mbona ipo mkuu mtandaoniMara nyingi watu hufanyiwa vitendo vya hovyo, udhalilishaji na kunyimwa haki zao za kisheria na kikatiba na polisi wetu kwa kukosa uelewa wa PGO. Hali hii hufanyika kwa makusudi na polisi ama kwa polisi kusahau au kutokuifahamu PGO.
Kwa wananchi kuifahamu vizuri PGO watakuwa katika nafasi nzuri ya kufahamu haki zao kisheria mara wanapowekwa chini ya ulinzi na polisi.
PGO iwekwe mitandaoni na hard copies ziwepo madukani ili wananchi wengi waweze kuzipata.