Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 935
- 2,553
Wadau hii nchi ipo hapa ilipo kwa sababu viongozi wa kisiasa wengi ni vilaza. Mtu kama Shilole anakuwa mbunge kwa akili gani?
Mtu kama baba Levo akiwa mbunge anaweza kuongoza watu lakini sio kukaa kusoma vifungu vya kimataifa vya mikataba.
Kiukweli inabidi mabadiliko yafanyike lazima tuwe na viongozi wenye upeo mkubwa wa kufikiria sio hawa vilaza waliopo.