Kuna haja ya club kuja na tuzo zao, hizi za TFF ni kichefuchefu

Kuna haja ya club kuja na tuzo zao, hizi za TFF ni kichefuchefu

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano.

Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi recognized kwenye tuzo anakuja kuondoka like he did nothing.✍️

IMG_0625.jpeg
 
Kabisa yan!

Haya mambo ulaya ni kawaida sana, mwezi uliopita nilishuhudia chama langu the blues ikimwaga matunzo kwa wachezaji wake kadhaa licha ya kuwa na msimu mbaya
 
Nimemuona Zibwe kwenye kipengele cha wachezaji waliofanya vizuri msimu wa 23/24,nikajua hizi tuzo watabalance.
 
Inasikitisha, Ukiachana na mishahara hakuna kingine wanaopataga
 
Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano.

Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi recognized kwenye tuzo anakuja kuondoka like he did nothing.✍️

Hivi tuzo za wanamichezo zinazo tolewa Na TASWA bado zipo?
 
Back
Top Bottom