Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Nusu Msimu alocheza Guede kafunga Goli nyingi kuliko misimu miwili ya Tapeli KIBU D, wa SANDA FC.Guede anafaa apewe tunzo☺️
Guene apewe tunzo amekuwa mwanamke au mtoto?Guede anafaa apewe tunzo☺️
Guene ❌Guene apewe tunzo amekuwa mwanamke au mtoto?
Hivi tuzo za wanamichezo zinazo tolewa Na TASWA bado zipo?Kuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano.
Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi recognized kwenye tuzo anakuja kuondoka like he did nothing.✍️
Tena hazipatikani kwa wakatiKuna haja ya club zetu kuwa na award zao kama club ili kuweza ku recognize michango ya wachezaji kwenye msimu husika wa mashindano.
Kuna wachezaji Wana contribute pakubwa Sana Ila hawawi recognized kwenye tuzo anakuja kuondoka like he did nothing.✍️
Kibu D anafunga goli la kukera watu tu. Hana maana yuleNusu Msimu alocheza Guede kafunga Goli nyingi kuliko misimu miwili ya Tapeli KIBU D, wa SANDA FC.