pavel
JF-Expert Member
- Aug 19, 2015
- 254
- 183
Habari wakuu,
Nimekuwa nikiona aina ya taarifa zinazoripotiwa na vyombo vyetu vya habari, hakika hii ni zaidi ya censorship inayofanyika.
Inakera na binafsi nmeacha kbsa kufatilia vyombo vyote vya habari nchini na rasmi nmegeukia kwenye Habari mtu/ mtu habari.