UtasikiaHabari wakuu,
Nimekuwa nikiona aina ya taarifa zinazoripotiwa na vyombo vyetu vya habari, hakika hii ni zaidi ya censorship inayofanyika.
Inakera na binafsi nmeacha kbsa kufatilia vyombo vyote vya habari nchini na rasmi nmegeukia kwenye Habari mtu/ mtu habari.
Hakuna haja ya kuangalia habari za TV za kibongo kusikiliza redio zao wala kusoma magazeti yaoHabari wakuu,