kanamaheri
Member
- Sep 24, 2021
- 99
- 84
AsanteWalimu Watanzania wengi ni Bogus
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AsanteWalimu Watanzania wengi ni Bogus
Mpwayungu VillageWalimu Watanzania wengi ni Bogus
Mkuu umejibu kwa busara ya hali ya juu sana.Mishahara
Mishahara ya walimu sio midogo kama unavyosema hapo kwasababu nasisi walimu tunalipwa kama kada zingine nyingi tu kulingana na viwango vyetu vya elimu na muda tuliokaa kazini. Tusipotoshe watu. Kama ni nyongeza ya mishahara ni watumishi wa kada zote tunahitaji hiyo nyongezaa kwasababu mishahara yetu ni ile ile na utofauti ni mdogo sana mara nyingine.
Pili, walimu tumejenga, tunabadili mboga, tuna usafiri unaoendana na mazingira aliyopo mtu, tunasomesha, na tumefungua biashara nje ya ajira kama tu baadhi ya watumishi wa kada zingine.
Tatu, suala la mazingira ya kufanyia kazi kuwa mazuri au magumu hautuhusu sisi walimu bali linawahusu watoto wenu tunaowafundisha. Wao ndio wanakaa kwenye hayo majengo mabovu na wao ndio wanaokaa chini bila viti.
Nne, huduma za kijamii kama vile maji, umeme na barabara zipo hadi vijijini siku hizi. Mfano mzuri ni huku simiyu.
Tano, unapotosha watu ukisema ualimu haujawahi kuvutia watu kujiunga na ualimu kwasababu kati ya kozi zenye soko zinazokimbiliwa kwasasa ni Ualimu kuanzia wa cheti hadi degree.
Sita, unapotosha watu ukisema ualimu wanaenda wenye marks ndogo kwasababu siku hizi serikali inachukua watu wenye division 1 hadi 3 kwenda kusomea ualimu wa cheti, diploma au degree. Mfano mzuri ni selection za vyuo vya kati za miaka mitatu ya hivi karibuni, watu wenye div 1 na 2 ndio waliochukuliwa kwenda kusomea diploma ya ualimu. Mfano mwingine ni vyuo vikuu, embu nenda pale udsm au udom au must au mzumbe au sua ukajionee mwenyewe watu wanaosomea ualimu wa ngazi ya degree pale wana division One za ngapi. Wakati serikali inachukua watu wenye division 1 hadi 3 kusomea ualimu, kozi zingine kama za afya wanachukuliwa watu wenye division 4 ya 28. Fuatilia.
Saba, sio kweli kuwa watu waliosoma au wanaosoma ualimu wamekosa namna nyingine kwasababu watu husoma kitu chenye soko. Sio kila mtu anapenda mambo ya kukaa miaka 10 bila ajira huku akipigika mtaani eti kisa anataka kuitwa engineer au lawyer wakati maisha ya watumishi ni yale yale.
Nane, acheni kudanganyana kuwa eti waliosoma ualimu wametoka familia duni halafu nyie mliosoma kozi zingine mmetoka familia za kishua wakati tulisoma wote shule za kata na hali ya umaskini wa familia zenu tunaujua. Mtu aliyetoka familia ya kishua hawezi kulilia ajira za serikali au kukaa anapigwa na njaa miaka 10 eti akisaka ajira. Ukweli ni kwamba asilimia 98 ya watu wanaotegemea ajira hapa tanzania wametoka familia duni na maskini ukiwemo wewe hapo. Punguzeni kujiona wa kishua wakati wote mnategemea mshahara wa kati ya laki 5 hadi milioni 4.
Wewe ni jitu la hovyo kutokea hapa duniani.Mishahara