kuna haja ya kuichagua tena ccm 2015

Ni vema ungepeleka siasa kwenye jukwaa lake.....allaaaah
 
Elimu yako haijakusaidia,unasema ccm wamefanyaje? Wangapi wamekosa mkopo kwa sababu ya ufisadi wa baadhi ya wana ccm? Mkopo hautolewi na ccm bali ni kodi za watanzania wenyewe ambao mwisho wa siku wanadhurumiwa haki yao,open your mind and wake up!

hizo kodi zinazokusanywa na serikali ni za watanzania sawa. Je hiyo serikali ni ya chama gani? Na sera za kimaendeleo zinazotimizwa ziliahidiwa na serikali ya chama gani? Wewe ndiye haujasaidiwa na elimu ulonayo sababu unashindwa kuelewa vijimambo vidogovidogo kabla haujalopoka pumba zako.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kiasi kwamba haustahili kuwepo ndani ya jamii forums,jitathimini alafu uchukue hatua!

wewe ndie uwezo wake wa kufikiri mdogo. Afu we sio daktari. Ulitaka afikiri kama wewe? Unafikiri kila mmoja angefikiri kama wewe kungekuwa na maendeleo? Tambua kuwa jamii sio homogeneous. Na yeyote anayelazimisha iwe hivo ni mjinga na --------.
 
wewe ni mxenge , mkopo ni haki yako na hatujapewa na ccm bali serikali....

sasa wew matuc ya nn tena,hyo serikal(heslb) na ccm ni kama remote na tv i min ccm ndo ina icntrl heslb so serikal ndo ccm yenyew n hayo tu
 

Hata kwenye nchi ambazo hazina vyama tawala bado kuna haki za msingi za za wananchi, kuna nchi duniani ambazo zinatumia utaratibu kama wa tanzania kwahiyo hizo nchi zote chama tawala ni ccm?
 
wewe ndie uwezo wake wa kufikiri mdogo. Afu we sio daktari. Ulitaka afikiri kama wewe? Unafikiri kila mmoja angefikiri kama wewe kungekuwa na maendeleo? Tambua kuwa jamii sio homogeneous. Na yeyote anayelazimisha iwe hivo ni mjinga na --------.

Wewe ni mb......... Sasa naitaji kuongea na mwenye mbwa!
 
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
Sio makosa yako lakini unaweza ingia kwenye list ya wazambe wa kufikiri na wenye akili fupi zaidi ya Funza,,,kwanza jua pesa za mkopo c za ccm,,bali ni kodi za wananchi wanazokatwa @ siku,,,pili ujue kuna wa2 wng 2 2mekosa huo mkopo na si kwamba ha2na vigezo,,,mshukuru mungu wako.Sometym chek issue ya kupost co unatia wa2 hasira................
 

I like it!
 
Ila sikushangai sana mana kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo!
afadhali ya Kenge anaweza kufanana na Mamba hata kwa kuonekana kama mtoto wa Mamba kuliko MJUSI ambaye ataonekana kama kinyesi cha Mamba walio katika msafara huo.
 
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb

kwa jinsi nlivyokusoma Sapp zinakusubiri tena nyingi tu!! ukiwa mzazi (baba wa familia) huwez kusifiwa au kujisifia vijiweni kuwa unailisha familia yako kila siku! utaonekana chizi coz huo ni wajibu wako wewe kuilisha familia! sasa wewe unaisifu CCM kwa kitu gani? wametoa hela yao mfukoni wakakupa au? umesahau ni kodi za watanzania akiwemo mzaz wako? kweli wewe ni ZUZU!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…