Sospetergideon
JF-Expert Member
- Aug 9, 2013
- 300
- 16
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
Imekuwa ongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
Ungeweka wazi sababu zilizofanya wakose siyo kuropoka tu.
wewe ni mxenge , mkopo ni haki yako na hatujapewa na ccm bali serikali....wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
wewe ni mxenge , mkopo ni haki yako na hatujapewa na ccm bali serikali....
Elimu yako haijakusaidia,unasema ccm wamefanyaje? Wangapi wamekosa mkopo kwa sababu ya ufisadi wa baadhi ya wana ccm? Mkopo hautolewi na ccm bali ni kodi za watanzania wenyewe ambao mwisho wa siku wanadhurumiwa haki yao,open your mind and wake up!
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo kiasi kwamba haustahili kuwepo ndani ya jamii forums,jitathimini alafu uchukue hatua!
wewe ni mxenge , mkopo ni haki yako na hatujapewa na ccm bali serikali....
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
hizo kodi zinazokusanywa na serikali ni za watanzania sawa. Je hiyo serikali ni ya chama gani? Na sera za kimaendeleo zinazotimizwa ziliahidiwa na serikali ya chama gani? Wewe ndiye haujasaidiwa na elimu ulonayo sababu unashindwa kuelewa vijimambo vidogovidogo kabla haujalopoka pumba zako.
wewe ndie uwezo wake wa kufikiri mdogo. Afu we sio daktari. Ulitaka afikiri kama wewe? Unafikiri kila mmoja angefikiri kama wewe kungekuwa na maendeleo? Tambua kuwa jamii sio homogeneous. Na yeyote anayelazimisha iwe hivo ni mjinga na --------.
Sio makosa yako lakini unaweza ingia kwenye list ya wazambe wa kufikiri na wenye akili fupi zaidi ya Funza,,,kwanza jua pesa za mkopo c za ccm,,bali ni kodi za wananchi wanazokatwa @ siku,,,pili ujue kuna wa2 wng 2 2mekosa huo mkopo na si kwamba ha2na vigezo,,,mshukuru mungu wako.Sometym chek issue ya kupost co unatia wa2 hasira................wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
Wewe ni mb......... Sasa naitaji kuongea na mwenye mbwa!
wewe ni katuni nahitaji kuongea na aliyekudesign.
Ila sikushangai sana mana kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo!
Sio makosa yako lakini unaweza ingia kwenye list ya wazambe wa kufikiri na wenye akili fupi zaidi ya Funza,,,kwanza jua pesa za mkopo c za ccm,,bali ni kodi za wananchi wanazokatwa @ siku,,,pili ujue kuna wa2 wng 2 2mekosa huo mkopo na si kwamba ha2na vigezo,,,mshukuru mungu wako.Sometym chek issue ya kupost co unatia wa2 hasira................
afadhali ya Kenge anaweza kufanana na Mamba hata kwa kuonekana kama mtoto wa Mamba kuliko MJUSI ambaye ataonekana kama kinyesi cha Mamba walio katika msafara huo.Ila sikushangai sana mana kwenye msafara wa mamba kenge nao wamo!
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
hujielewiBora kuongozwa na jiwe kuliko ccm