kuna haja ya kuichagua tena ccm 2015

kuna haja ya kuichagua tena ccm 2015

mshukuru MUNGU pia tambua mkopo ni haki yako maana hizo ni kodi za watanzania wala siyo ccm!! Kasome na ukihitimu kumbuka kurejesha mkopo na wadogo zako nao waweze kunufaika!!!
ni haki yake kweli lakini unapatikana chini ya usimamizi mzuri wa ccm
 
katika hali ya kawaida elimu ilitakiwq iwe bure au gharama ya chini sana, lakini mnapopewa haki yenu kwa kuminywa na akili zilizo finyu mnachachawa, kumbe shule inaweza isikusaidie kujitambua!
 
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb

nilijua kuna pwenti nyingi zakunikonvisi kumbe unadepend ktk single factor kudraw conclusion yako?tena wewe ni mbinafsi sana cuz unajizungumzia wewe km wewe bila kujumuisha wengine wengi ambao kiuhalisia walitakiwa nao wakopeshwe ila wamekosa haki hiyo.
 
Back
Top Bottom