Kuna Haja ya Kupima?

Kuna Haja ya Kupima?

nilipima hospitali kubwa kabisa ya serikali wakanipa majibu kwamba ni negative na sikupewa ushauri hata kidogo
Hao ni mawakala wao usifate hayo maelezo yake ndo walio karirishwa hao jinsi ya kupunguza watu bila kujielewa.

Kama una khofu na afya yako kapime ila kma upo vizuri haina ulazima.

Angalizo upungufu wa kinga waeza sababishwa matatizo mengine ya mwilini hivyo kua makini waeza kulishwa ma arv ukaambulia kansa.
 
mkuu nipe elimu zaidi tafadhali
 
Sasa hofu ya niniii kwahiyo hujiamini kama hauna au inakuwaje unachokitaka utakipata kila la heri
 
Back
Top Bottom